Umejiuliza ukajijibu,ukajiuliza ukaanza kudoubt unachowaza kama kina ukweli
Wewe amini unachoamini,ukiona ID ukadhani itakuwa sawa na matarajio yako then go for it....mwisho wa siku hautakufa kama ukikuta ndivyo sivyo bali utakuwa dissappointed kidogo tu