Sioni vita dhidi ya ufisadi ikifanikiwa

Sioni vita dhidi ya ufisadi ikifanikiwa

Nyani Ngabu,
lowassa juzi alikaribishwa ikulu na jpm kamsifia
unategemea huyu atapelekwa mahakama ya mafisadi kama ccm wanavyosema ni fisadi?
tatizo mafisadi ni wazito,..
kuna mtu alikwapua nyumba za serikali leo hii tunaambiwa anachukia ufisadi!!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hilo neno 'alikwapua' huwa nalipenda sana..mkuu nani huyo alikwapua nyumba za serikali
 
Kinachonifurahisha ni pale kila upande unamchekea Lowassa ambaye ndo starring mwenyewe wa kashfa kubwa ya ufisadi kuwahi kutokea.
Huku walimpokea na mabusu baada ya miaka nane ya kumponda.
Huku wanamkaribisha na kutukumbusha wao ni dam dam.

Tuseme tu kwamba nchi sio yako, tumekodisha tu.
kwa taarifa yako mpaka sasa waliochota bilioni 308 za account ya escrow pesa za walipa kodi wa nchi ya tanzania wapo CCM na wengine ni viongozi mpaka leo.

Andrew Chenge
Anna tibaijuka
Jakaya kikwete
eliakim maswi
Chacha werema
endelea kuwataja maana unawajua
 
Swala sio kutokuwepo kwa ufisadi; hivyo kuifanya vita ya ufisadi kuwa kiini macho.

Bali ni ubovu wa aina ya wanasiasa wanaofanya siasa.
 
kwa taarifa yako mpaka sasa waliochota bilioni 308 za account ya escrow pesa za walipa kodi wa nchi ya tanzania wapo CCM na wengine ni viongozi mpaka leo.

Andrew Chenge
Anna tibaijuka
Jakaya kikwete
eliakim maswi
Chacha werema
endelea kuwataja maana unawajua
Anhaa.. Kwa hiyo una-compare nani ana mafisadi wengi au?
Maana na Chadema wanae Lowassa. CUF wanae dictator (basically).
Kwa jicho rational, hatuna namna ya kufahamu itakuwaje pindi upinzani wakichukua. Lakini binafsi nadhani kwa kitendo cha mid-2015, inaonyesha nyani ni walewale. Alidakwa mamvi chap chap, imagine na nani na nani na nani na nani mwingine atadakwa, when they are desperate. Coz, that was a perfect test!

So in short, CCM is crap, but there is no substitute.
 
hiyo ni kwa mujibu wa akili yako
 
njoo hapa iringa kuna diwani anataka milioni 100 ahamie CCM na kwenye uchaguzi anataka mumrejeshe agombanie yeye.
Ccm ina mandate ya kuendesha nchi kwa 100%,wala hakuna mseto,haina haja ya kununua watu
Wenyewe wanakoshwa na utendaji mzuri wa magufuli
Baba yenu lowassa alifika kumpongeza magufuli,na kasema amekoshwa na utendaji wake
 
Ccm ina mandate ya kuendesha nchi kwa 100%,wala hakuna mseto,haina haja ya kununua watu
Wenyewe wanakoshwa na utendaji mzuri wa magufuli
Baba yenu lowassa alifika kumpongeza magufuli,na kasema amekoshwa na utendaji wake,itakua wewe karai tuu
endeleeni kujidanganya. CCM imechokwa nchi nzima kwa taarifa yako.ndio maana mnanunua viongozi wa Chadema
 
Tatizo mnapebda kuhamisha magoli,hata akidakwa chenge mtasema bado kikwete
Jinai haina ukomo,kama chenge alivurunda sehemu utafika wakati atatendewa tu haki
Adakwe chenge, labda hujui wewe, hata mkuu hana ubavu wa kumdaka Chenge. Mdakeni CCM aipasue uzia uishe
 
Na CHADEMA wana ubavu wa kumpeleka nani mahakani endapo wangekuwa na dola??

Unawaongeleaje watu ambao hawako madarakani?

si ungoje wakiwa madarakani halafu wakashindwa kumfikisha mahakamani ndio uongee!!!!

sasa hivi tunamuongelea huyu aliye madarakani lakini anamuogopa kumchukulia hatua,na jabu anamsifia!!!!!

i see,he is disappointing you...we told you guys huyu mtu ni wale wale hamkusikia
poor you.
 
Mkuu ww endelea tu kula maisha kwa Mzee Trump ukianza kutufikiria sisi huku unaweza kuwa chizi kabisa..

Hawa wanasiasa wanatafuta sehem ya kula . wanaanzisha janga halafu baadae wanaiweka kuwa hoja ya kuombea ulaji.

Yaana hapa wanaangalia upepo tu ili waendelee kula..
 
unawaongeleaje watu ambao hawako madarakani?
si ungoje wakiwa madarakani halafu wakashindwa kumfikisha mahakamani ndio uongee!!!!
sasa hivi tunamuongelea huyu aliye madarakani lakini anamuogopa kumchukulia hatua,na jabu anamsifia!!!!!
i see,he is disappointing you...we told you guys huyu mtu ni wale wale hamkusikia
poor you.

Nawaongelea hivi: kama hivi ambapo hawapo madarakani wako hivyo walivyo, naweza kupata picha ni jinsi gani watakuwa wakiwapo madarakani!

CHADEMA are not ready for prime time.
 
Na CHADEMA wana ubavu wa kumpeleka nani mahakani endapo wangekuwa na dola??
Kumbe shida yako ni kutaka kuyafahamu majina ya mafisadi! Fanya hivi, bashite anayo list ya mafisadi na wabwia ngada anaweza kukusaidia ukaperuzi humo! Na mbinu nyingine ni hii ya kuwahoji ccm kwani wanawajua kwa sura na majina!
 
Hahaha sasa na wewe unapingana na CCM wanaosema mafisadi walihamia chadema?!
Hahaha waliwaanzishia na mahakama yao tukaambiwa ikiisha tu tutaona msururu wa viongozi wa chadema wakishitakiwa, kumbe nao CCM walitudanganya?!

Hahaha kumbe CHADEMA na wanachadema wazuri ehee,yani wakinunulika wakahamia CCM, siku hiyo CCM inaacha shughuli zote kusherehekea ujio wa mwanachadema mmoja tu hahaha. Walituambia eti chadema wanachukua oil chafu kumbe inaonekana CCM ndio walichukua oil chafu hahaha.

Kama ufisadi haupo, kwanini CCM msimshauri magufuli ajiuzulu urais, alafu Lowassa arudi ccm kisha zile busara zitumike kumpitisha Lowassa agombee nafasi ya urais na tume wamtangaze awe mshindi.
 
Kuna fisadi mmoja aliuza nyumba za serikali huku mojawapo ya nyumba hizo akiitoa kama hongo kwa kimada wake, then akaja kununua kivuko kibovu ambacho hakikuwahi kufanya kazi hata kwa kipindi cha mwezi mmoja. Lakini huyo ndo leo hii anajiita mzalendo nambari one huku akiendelea kufurahia hewa safi ya uraiani badala ya kukaa korokoroni kule Segerea.
 
4c4a6ff3621fbb44c693aa2b87edbcac.jpg
 
Lakini ingefaa kufafanua fisadi ni nani au anapayikana wapi Magufuli alisema hakuja Ikulu kufukuwa makaburi, alichofanya yeye ni kuweka kufuli jipya kwenye mlango uliokuwa unatumiwa na Mafisadi. Hivi sasa huoni tender inayopatikana kinyenela, hakuna mwekezaje anayepata kibali kwa njia ya mkato au kibali cha kufanya kazi hupati kwa bahasha ya kaki. Wakuu wa idara na mashirika hakuna trip za ovyo, hakuna kujilipa mishara mara mbili....nk nk
Uko Tanzania hii hii au unaripoti kutoka Saudi Arabia? Kilichofanyika kwa sasa ni kubadili mbinu tu ila upigaji uko palepale, endelea kujifariji
 
Back
Top Bottom