Luther3
Member
- Nov 9, 2011
- 41
- 7
hivi inawezekanaje lowasa akasema kua yeye hausiki kwenye richmond?kwakuzingatia yeye ndo alikua waziri mkuu. Je iweje sasa anaanza kusema anataka kuwasaidia vijana wakati alikuepo madarakani na hakuonesha juhudi mufilisi kama anavyofanya sasa?
Ameshika nafasi mbalimbali kwenye serikali lakini hatukuona utendaji mzuri anaojinasibu kua nao. Angalau hata unaofanana na huu wa akina Mwakyembe na Magufuli.
Kwanini kasi ya kufanya viharambee imeshika kasi sasa kuliko wakati mwingine wowote ambapo alikuepo?na ukizingatia wakati wa uchaguzi umekaribia.
Watanzania tunahitaji kujiuliza maswali haya ya msingi tusisubiri kuambiwa sijui na viongozi wa dini au wa vyama tutumie akili zetu kutafakari siasa zao.
Watatumaliza hawa mafisadi.