Moja CCM viwanja vingi sio vyake at least tungesema ni vya serikali / wananchi sababu vilikuwepo enzi za chama kimoja; mbili kama ikingangania kwamba ni vya kwake ianze kuvilipia kodi maradufu...; tatu sababu ni mpira ninamaanisha TFF katika fungu la mapato linalokatiwa na mapesa ambayo limekuwa likipewa na FIFA na kumungunya lingeweza kuwa na viwanja kila wilaya na since hii ni kama serikali na inadumisha michezo wangepewa ahueni ya Kodi / kutokuingia gharama za kununua hio ardhi...Naamini hapo kwenye tff umemaanisha wizara ya michezo
Njia ya kwanza ni kuishurutisha ccm kuendeleza viwanja vyake au iviachie kwa halmashauri za miji viendelezwe kwa ajili ya manufaa ya taifa zima
Mfumo wa kuendesha soccer wa hizo nchi ni tofauti sana afrika kwanza hayo yote unayoyataja hapo ni mataifa kwa Ulaya na zile ni kama national stadium huwezi zifananisha na hizi team za TanzaniaNimekuomba utaje na timu zenye viwanja tuone kama hazina maendeleo, Madrid, Barcelona, Man city, Bayern, Liverpool, Chelsea
Nimekuelewa kwa usahihi kabisaMoja CCM viwanja vingi sio vyake at least tungesema ni vya serikali / wananchi sababu vilikuwepo enzi za chama kimoja; mbili kama ikingangania kwamba ni vya kwake ianze kuvilipia kodi maradufu...; tatu sababu ni mpira ninamaanisha TFF katika fungu la mapato linalokatiwa na mapesa ambayo limekuwa likipewa na FIFA na kumungunya lingeweza kuwa na viwanja kila wilaya na since hii ni kama serikali na inadumisha michezo wangepewa ahueni ya Kodi / kutokuingia gharama za kununua hio ardhi...
Kuwa na utitiri wa viwanja kwa Tanzania ambapo timu nyingi ni za misimu mwisho wa siku ni kutengeneza magofu ambayo yatakuwa hayahudumiwi... Ni nchi chache sana zenye utamaduni wa kuangalia live games za timu zao zote (kila wilaya ikiwa na kiwanja kimoja cha michezo ambacho ni top notch inatosha sana...., hizi timu kubwa zikingangania kuwa na viwanja vyao sawa (ila gharama za majengo, viwanja na kodi zote walipe na sio kupitia mgongo wa taasisi)...
Mpira kuendesha its a hard business na ni timu chache sana ulimwenguni zina make profit au kubreak even.....
Wenger's Way is the Right Way.....
Katika uendeshaji wa timu wa muda mrefu na sio kutaka mafanikio ya haraka haraka na kuua timu, kocha anayefaa kuigwa ni Arsene Wenger..., Mashabiki wa Arsenal inabidi wafikilie sana wanachokitaka (kununua wachezaji wengi wenye wage bill kubwa) itakayopelekea Timu kufilisika au kutumia pesa na...www.jamiiforums.com
Wajenge naona bank zimejiondoa Sasa ufadhili utakuwa wa GSMAisee kama wameahidiwa hisani ya kujengewa heri wajengewe
Ukileta option mbadala utashagaa kiwanja hutakiona na hela hazitakuwepo.we ni mgeni bongo hii.
We unafikiri hata leo balance sheet ya yanga ipo sahihi..ni kwa vile tu timu inapata matokeo ndio maana watu hawahoji...ila hesabu za yanga ni questionable saaana tu.
Kupanga ni kuchaguaAsante kwa kuona hili na kuboresha maslahi ya wachezaji nakumbuka Totenham wakiwa wanajenga uwanja wao wa Sasa walishindwa kabisa kununua wachezaji kwa yanga ya Sasa ikiingia kwenye hiyo project tutaletewa kina Guede na Mkude wengi kweli wakati tunataka angalau hadi 2027 tuwe tunaitafuta final ya Caf regularly
Anyway tuwaachie wao si ni maoni tu
Hahahahaha...mara oooh timu ina miaka 89 haina uwanja...inataka kujenga ..ooh sio muhimu...watanzania ccm itawatawala sanaWewe ulitaka Yanga imiliki nini ili ionekane imeendelea? Kwani lazima Yanga iwe na mtazamo kama wa hizo timu?
HahahahahaWajenge naona bank zimejiondoa Sasa ufadhili utakuwa wa GSM
mradi unaanza lini na kuisha lini tafadhaliEneo la jangwani kuna mradi wa Benki ya Dunia..utakaohusu mto ule pamoja na kuinua ile barabara..Mradi utainufaisha Yanga ki Miundombinu
Ukiona Yanga wanakuambia watajenga uwanja pale ni sawa kwani tayari hapo kuna mradi
hakuna haja ya kujenga uwanja afcon, utumike amaan na mkapa basi. vingine kenya na ugandaSijajua huwa tunawaza Nini!?
Viwanja ndio hivi serikali inataka kujenga kwa ajili ya Afcon hapohapo yanga nae ajenge hayo ni matumizi mabaya ya fedha
Chezea vya serikali kama alivyo kaizer na Orlando Kisha pesa elekeza kwenye vitega uchumi vingine eg sport center kuokoa gharama za pre season
Gwambina nae ana uwanjaNimekuomba utaje na timu zenye viwanja tuone kama hazina maendeleo, Madrid, Barcelona, Man city, Bayern, Liverpool, Chelsea
Kama Gwambina na Man city wanafanana basi sawa