Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Kwangu mimi kuwa na marafiki sio kipaombele kwangu,watu wote wanaonizunguka nawachukulia kama dada, kaka, shangazi, mjomba n.k,
Yaani mtu yeyote aliyekaribu na mimi namchukulia tu kama brother fulani ila siri zangu, mawazo yangu, shida zangu na changamoto zote nakabiliana nazo mimi kama mimi.
Hata nikishinda njaa siku tatu ni mimi na Mungu wangu tu sijawahi kumwambia mtu nina njaa japo mwenyezi Mungu huwa anatumia watu kwa staili mbalimbali kukutoa kwenye changamoto fulani bila kutia huruma kwa watu