Sioni Rais Samia akiongoza miaka 5 ijayo.

Sioni Rais Samia akiongoza miaka 5 ijayo.

haya maneno ni kama yanachekesha au hayana uhalisia

ila kwa miezi miwili now mimi pia sioni kama Samia atakuwa rais wa awamu ijayo

NB: Inawezekana ni ndoto zangu za mchana tu lakini I'm so convinced by it siyo kikawaida
Hahaha yajayo yanafurahisha
Nimekaa pale
Wanafikiri utani
 
Endeleeni kujidanganya
Naona mnajitesa bure kilichowekwa na Mungu kinalindwa na Mungu.
OCTOBER TUNATIKI ✅
Narudia tena OCTOBER TUNATIKI ✅ Kwa Mh Rais Samia Suluhu Hassan
Sema October natiki.

Husituseme tusio ndani ya Moyo WAko
 
Agosti 2025

  • Mwezi huu utakuwa na joto la kisiasa, mijadala ya urithi wa uongozi, nguvu za chama tawala (CCM), na masuala ya fedha katika siasa.
  • Kinachoweza kutokea: Migongano ya nguvu ndani ya CCM au changamoto wazi kutoka upinzani.
  • Hatari: Kuwepo kwa kashfa za kifedha au matumizi mabaya ya fedha za umma. Inawezekana pia kuwe na mabadiliko ya ghafla bungeni.

Septemba 2025

  • Huu unaweza kuwa mwezi wa kuaga kiongozi au mwanasiasa mkongwe (kustaafu, kujiuzulu, au kufariki dunia).
  • Kinachoweza kutokea: Tukio la kitaifa la kuomboleza linaweza kuibua mjadala wa kisiasa.
  • Hatari: Kupoteza mtu mwenye ushawishi mkubwa kisiasa kutaleta nafasi ya mazungumzo kuhusu mustakabali wa uongozi.

Oktoba 2025

  • Mwezi huu unaweza kuleta tamko jipya la kisiasa au mpango mpya wa serikali.
  • Kinachoweza kutokea: Rais anaweza kufanya uamuzi wa kuthibitisha nguvu yake, au kutokea mabadiliko ya ghafla kwenye baraza la mawaziri.
  • Hatari: Harakati za upinzani zinaweza kuanza kupata nguvu mpya.

Novemba 2025

  • Mwezi huu kutakuwa na mazungumzo ya ndani kwa ndani, hasa kujenga au kuvunja ushirikiano wa kisiasa.
  • Kinachoweza kutokea: CCM inaweza kujaribu kuunganisha nguvu zake, lakini pia hatari ya kugawanyika ipo.
  • Hatari: Uvujaji wa taarifa za siri na mikataba isiyojulikana.

Desemba 2025

  • Mwezi huu (wa maadhimisho ya Uhuru) viongozi watajitahidi kujionyesha mbele ya wananchi, lakini maneno na ahadi zao zitachunguzwa sana.
  • Kinachoweza kutokea: Matamko makubwa ya kisiasa, sherehe, na ahadi nyingi.
  • Hatari: Kejeli au maandamano yanaweza kufunika sherehe rasmi.

Januari 2026

  • Huu ni mwezi wa utulivu wa juu juu, lakini chini kuna mipango mikubwa inawekwa kwa ajili ya katikati ya 2026.
  • Kinachoweza kutokea: Baadhi ya viongozi kuanza kuonyesha nia ya kupanda ngazi au kuwania nafasi kubwa zaidi.
  • Hatari: Migawanyiko ya ndani ya serikali inaweza kuvuja hadharani.
Ramli
 
Bhita kati ya wazanjebare na wadanganywika.
 
Endeleeni kujidanganya
Naona mnajitesa bure kilichowekwa na Mungu kinalindwa na Mungu.
OCTOBER TUNATIKI ✅
Narudia tena OCTOBER TUNATIKI ✅ Kwa Mh Rais Samia Suluhu Hassan
Unamkosea sana mungu, mtu anahutubia muda wote kachoka kama analizimishwa ila nawashangaa wanaoenda kumsikiliza, mnamuelewa au mnatumia tu?
 
Unamkosea sana mungu, mtu anahutubia muda wote kachoka kama analizimishwa ila nawashangaa wanaoenda kumsikiliza, mnamuelewa au mnatumia tu?
Hotuba yake hyo ndo iliyotoongezea mishahara na kutupandisha mishahara na kutuondolea VRF ya HESLB, hiyo ndo inayotupa ruzuku za mbolea huku vjjn, hotuba yake ndyo iliboresha mataala wa Elimu.
OCTOBER TUNATIKI ✅
TUNATIKI KWELIKWELI
 
Halafu kitendo cha kuruhusu makamu kutawala baada ya Rais ku rest in peace! Ni hatari sana. Watu wanaweza kuanza kuviziana ili wawekeane sumu. Ilitakiwa Makamu ashikilie nchi kwa siku 90, halafu mchakato wa uchaguzi mkuu ufanyike upya!

Na siyo huu utaratibu wa sasa ambao unaweza kusababisha Wahuni wachache kutengeneza shambulio la hatari ili makamu ambaye ni dhaifu, kuongoza nchi kwa niaba ya matakwa ya wahuni wachache wenye nguvu ya fedha.
 
Back
Top Bottom