Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 2,882
- 7,916
Atashindwa vibaya mno kwenye uchaguzi, ndiyo kwenye uchaguzi.
Rais ajaye katulia tu.
Rais ajaye katulia tu.
Inaonyesha unapandisha kisukari haraka sanaAtashindwa vibaya mno kwenye uchaguzi, ndiyo kwenye uchaguzi.
Rais ajaye katulia tu.
Unajidanganya ili ujifariji syoHATOGOMBEA
Duh pole xnaaa.asa nyie c ndio wa no reform no election saiv imekuajeAtashindwa vibaya mno kwenye uchaguzi, ndiyo kwenye uchaguzi.
Rais ajaye katulia tu.
Wa kujibishana na wewe atatakiwa akapimweEndeleeni kujidanganya
Naona mnajitesa bure kilichowekwa na Mungu kinalindwa na Mungu.
OCTOBER TUNATIKI ✅
Narudia tena OCTOBER TUNATIKI ✅ Kwa Mh Rais Samia Suluhu Hassan
Mkuu tulia achana na hzo lamr zako. uchaguzi utafanyika Samia atashinda ataapishwa atateua Baraza la mawazir, mbolea za ruzuku na mishahara itapanda na kazi itaendeleaAgosti 2025
- Mwezi huu utakuwa na joto la kisiasa, mijadala ya urithi wa uongozi, nguvu za chama tawala (CCM), na masuala ya fedha katika siasa.
- Kinachoweza kutokea: Migongano ya nguvu ndani ya CCM au changamoto wazi kutoka upinzani.
- Hatari: Kuwepo kwa kashfa za kifedha au matumizi mabaya ya fedha za umma. Inawezekana pia kuwe na mabadiliko ya ghafla bungeni.
Septemba 2025
- Huu unaweza kuwa mwezi wa kuaga kiongozi au mwanasiasa mkongwe (kustaafu, kujiuzulu, au kufariki dunia).
- Kinachoweza kutokea: Tukio la kitaifa la kuomboleza linaweza kuibua mjadala wa kisiasa.
- Hatari: Kupoteza mtu mwenye ushawishi mkubwa kisiasa kutaleta nafasi ya mazungumzo kuhusu mustakabali wa uongozi.
Oktoba 2025
- Mwezi huu unaweza kuleta tamko jipya la kisiasa au mpango mpya wa serikali.
- Kinachoweza kutokea: Rais anaweza kufanya uamuzi wa kuthibitisha nguvu yake, au kutokea mabadiliko ya ghafla kwenye baraza la mawaziri.
- Hatari: Harakati za upinzani zinaweza kuanza kupata nguvu mpya.
Novemba 2025
- Mwezi huu kutakuwa na mazungumzo ya ndani kwa ndani, hasa kujenga au kuvunja ushirikiano wa kisiasa.
- Kinachoweza kutokea: CCM inaweza kujaribu kuunganisha nguvu zake, lakini pia hatari ya kugawanyika ipo.
- Hatari: Uvujaji wa taarifa za siri na mikataba isiyojulikana.
Desemba 2025
- Mwezi huu (wa maadhimisho ya Uhuru) viongozi watajitahidi kujionyesha mbele ya wananchi, lakini maneno na ahadi zao zitachunguzwa sana.
- Kinachoweza kutokea: Matamko makubwa ya kisiasa, sherehe, na ahadi nyingi.
- Hatari: Kejeli au maandamano yanaweza kufunika sherehe rasmi.
Januari 2026
- Huu ni mwezi wa utulivu wa juu juu, lakini chini kuna mipango mikubwa inawekwa kwa ajili ya katikati ya 2026.
- Kinachoweza kutokea: Baadhi ya viongozi kuanza kuonyesha nia ya kupanda ngazi au kuwania nafasi kubwa zaidi.
- Hatari: Migawanyiko ya ndani ya serikali inaweza kuvuja hadharani.
Atashindwa vibaya mno kwenye uchaguzi, ndiyo kwenye uchaguzi.
Rais ajaye katulia tu.
Tatizo sio October na fomu kuchukua!hata juzi juzi tu Ndugai alishinda Kwa kishindo akawa anaisubiri October Kwa ham!Unajidanganya ili ujifariji syo
Form imechukuliwa na ss Wananchi tunasema OCTOBER TUNATIKI ✅
NchimbiDuh mpk ponjoro umeona
Hatari 🤣🤣🤣sa nani atamshida ,mpina au Salim mwalimu?
Pole sana kumbe akili yenu ndo hyo.Tatizo sio October na fomu kuchukua!hata juzi juzi tu Ndugai alishinda Kwa kishindo akawa anaisubiri October Kwa ham!
October no miezi miwili mbele!!
October nitatick kama kawa!