Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 1,018
- 2,365
Hivi ni kweli huyo jamaa yupo Tanzania?Same here, kaleta dram za kutosha sijui anataka kukamatwa, ai lingekaa huku Nje, inaonekana hawa jamaa wanautamani uongozi wa hii nchi na wana backup, si rahisi libaki humu ndani
Hivi ni kweli huyo jamaa yupo Tanzania?
Hata huyo mwandishi atakuwa wa namna gani ku risk kazi na maisha yake!
Naungana nawe mleta mada.
Itafanyika tu. Wahuni hawakubalikiKuna kila dalili hiyo press haitafanyika vinginevyo afanye kwa mbinu za Gwajima za kujifanya anaongea na waandishi kumbe ni yeye mwenyewe..
Hata Nape alivyotaka kuongea baada ya kufanyiwa uhuni kipindi kile ALINYOOSHEWA BASTOLA!
Hivi ni ukumbi gani utakubali KUHOST inshu ya pole pole leo?
Labda afanyie home kwake...
Trust me hiyo press labda ifanyike angani
He is smatter than thatKuna kila dalili hiyo press haitafanyika vinginevyo afanye kwa mbinu za Gwajima za kujifanya anaongea na waandishi kumbe ni yeye mwenyewe..
Hata Nape alivyotaka kuongea baada ya kufanyiwa uhuni kipindi kile ALINYOOSHEWA BASTOLA!
Hivi ni ukumbi gani utakubali KUHOST inshu ya pole pole leo?
Labda afanyie home kwake...
Trust me hiyo press labda ifanyike angani
Jibu sahihiYeye si anakaa mahali penye mic na camera, waandishi ni wa kazi gani miaka hii?
Kuna kila dalili hiyo press haitafanyika vinginevyo afanye kwa mbinu za Gwajima za kujifanya anaongea na waandishi kumbe ni yeye mwenyewe..
Hata Nape alivyotaka kuongea baada ya kufanyiwa uhuni kipindi kile ALINYOOSHEWA BASTOLA!
Hivi ni ukumbi gani utakubali KUHOST inshu ya pole pole leo?
Labda afanyie home kwake...
Trust me hiyo press labda ifanyike angani
Kuna kosa yeye kufanya press? Kwani hizo kumbi ni kwa ajili ya pess za iana gan? ndio mawazo haya mnawapaga na ndugu zenu? Tunatengeneza cycle ya watu wajinga sana na waoga kupindukia, nazani hata watoto wako ndio usha uri huwa unawapatia.Kuna kila dalili hiyo press haitafanyika vinginevyo afanye kwa mbinu za Gwajima za kujifanya anaongea na waandishi kumbe ni yeye mwenyewe..
Hata Nape alivyotaka kuongea baada ya kufanyiwa uhuni kipindi kile ALINYOOSHEWA BASTOLA!
Hivi ni ukumbi gani utakubali KUHOST inshu ya pole pole leo?
Labda afanyie home kwake...
Trust me hiyo press labda ifanyike angani
Mkuu huu utawala sio kbs, kuna mtu alikuwa jasiri kama Mdude??Kizazi cha waoga, kwani ni kosa yeyekufanya press? nyie ndio mnategemewa mlete mabadiliko ilihali ni waoga kuliko hata kunguni?
so kama anataka kukamatwa alipaswa akae kimya ili kuwafurahisha nyie wajinga keybord worrior? Eti Dram wewe unaweza nini kisicho cha drama?Same here, kaleta dram za kutosha sijui anataka kukamatwa, ai lingekaa huku Nje, inaonekana hawa jamaa wanautamani uongozi wa hii nchi na wana backup, si rahisi libaki humu ndani