Sioni mwisho mwema wa Mtulia kwenye siasa

Hata Rwanda viongozi wa dini ndo waliosababisha damu kumwagika,, na wengi wao wanahasira kwa benki zao waliokuwa wanazitumia kujinyakulia pesa kiholela kufungwa
Kamtafute Sitta aliyewadhihaki maaskofu umuulize nini maana ya dunia!!!
 
Nasikia anatoa damu sana mkunduni na haongei vizuri yupo kwao Rufiji pwani
yaan nilikuwa nakuheshimu sana comrade lakini kumbe bure kabisa wewe.nachukua nafasi hii kukujumuisha na vijana makarai wasiojua kujenga hoja humu jf bali kuleta vioja.
[HASHTAG]#wacha[/HASHTAG] lugha chafu linda heshima yako ndugu.
 
Kiukweli, sioni mwisho mwema wa Mtulia kwani Abdul Nondo kusimamishwa chuo ni kwasababu ya Mtulia.

Mh.Mbowe na wenzake kuwekwa mahabusu ni kwasababu ya Mtulia.

Kifo cha Akwilina ni kwasababu ya Mtulia.

All the best CHADEMA no lane has no turning hata Firauni alikuwa hivyo lakini sisi binadamu sote tunapita hapa chini ya jua.

Kwani wako wapi akina Amina chifupa na Nyerere watu walio wai kuwa na madaraka makubwa katika hii nchi! Sembuse mimi na wewe.

Tunachukiana kisa madaraka!
dhuluma haijengi,mwisho mwa dhuluma ni chuki
 
MichademaChaggas acheni ujinga na ulofa

Hakuna Maandamano wala ndugu yake Maandamano
kama hakuna maandamano mbona mnakuwa na hofu hadi mnawafungia viongozi wa upinzani,watu wakipost kukemea nakuzungumzia maandamano mnawatafutia kesi,nyie ni wapuuzi wa mwisho na waoga mno hamujiamini kabisa mna jeshi,mna silaha mna kila kitu ila hofu imewatanda,kweli nyie ni zaidi ya ndezzi,kelele nyingi kumbe mioyo inawadunda,
 
Hata kikwete alisakamwa sana lakini alimaliza.
Tunaowajua chadema huwa hawatupi shida,kwa kuwa wanapenda kuendesha siasa kwa matukio
Ukiona kiongozi mkuu kama mbowe anahamasha wafuasi nchi iwe kama Libya,huyo amefikia mwisho wa kuongoza,na anapostahili ni jela tu
Mbona hujawataja hawa

Samweli sita

Mh Komba

Celline Kombani

Masabuli

Au umesahau maneno au majivuno yao
 
Kiukweli, sioni mwisho mwema wa Mtulia kwani Abdul Nondo kusimamishwa chuo ni kwasababu ya Mtulia.

Mh.Mbowe na wenzake kuwekwa mahabusu ni kwasababu ya Mtulia.

Kifo cha Akwilina ni kwasababu ya Mtulia.

All the best CHADEMA no lane has no turning hata Firauni alikuwa hivyo lakini sisi binadamu sote tunapita hapa chini ya jua.

Kwani wako wapi akina Amina chifupa na Nyerere watu walio wai kuwa na madaraka makubwa katika hii nchi! Sembuse mimi na wewe.

Tunachukiana kisa madaraka!
yoote hayo uliyoyasema hapo ni kwasababu ya CHADEMA wala siyo Mtulia. Akwilina asingekufa kama CHADEMA wasingeandamana saa 12 jioni tena bila kibali. Mhe. Mbowe na wenzie wapo mahabusu kutokana na kuvunja sheria na siyo vinginevyo. Abdul Nondo kasimamishwa chuo kutokana na uwehu wake mwenyewe wa kufuata mkumbo kwa kukubali kutumika, ikiwa ni mwendelezo wa CHADEMA wa kutengenezea matukio hasa ya kujiteka ili kupata huruma ya wananchi wajinga kama wewe. Kwahiyo usituletee ujinga wako hapa kwa watu werevu tunaojitambua.
 
aliyezoea kula Nyama za watu hawezi kuacha abadani"" dawa nikumpelekea majuto ili aweze kuujitia ujinga wake """
 
Hata kikwete alisakamwa sana lakini alimaliza.
Tunaowajua chadema huwa hawatupi shida,kwa kuwa wanapenda kuendesha siasa kwa matukio
Ukiona kiongozi mkuu kama mbowe anahamasha wafuasi nchi iwe kama Libya,huyo amefikia mwisho wa kuongoza,na anapostahili ni jela tu

Yule Mpangaji wetu pale magogoni kila haipiti wiki mbili hajaitamka Libya, Rwanda anapata kigugumizi(urafiki) Iraq lazima aitaje...huwa anamaanisha nini? au nyani haoni.....ndule?
 
Kiukweli, sioni mwisho mwema wa Mtulia kwani Abdul Nondo kusimamishwa chuo ni kwasababu ya Mtulia.

Mh.Mbowe na wenzake kuwekwa mahabusu ni kwasababu ya Mtulia.

Kifo cha Akwilina ni kwasababu ya Mtulia.

All the best CHADEMA no lane has no turning hata Firauni alikuwa hivyo lakini sisi binadamu sote tunapita hapa chini ya jua.

Kwani wako wapi akina Amina chifupa na Nyerere watu walio wai kuwa na madaraka makubwa katika hii nchi! Sembuse mimi na wewe.

Tunachukiana kisa madaraka!
Ohooooo
 
Back
Top Bottom