Sioni madhara ya nyeto

Sioni madhara ya nyeto

Entreprenuare

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2019
Posts
1,616
Reaction score
1,737
Wakuu mambo

Nilianza kupiga nyeto 2009 nipo form one, mbaka nafika chuo bado najilipua, nimemaliza chuo bado najilipua

Ila kiukweli mbaka sasa hivi sijaona negative impacts yoyote, na kama show napiga show za kibabe, yani nipo fit sana kwenye swala la kugegeda, japokuwa na nyetuka.

Tena naona nyeto ndio inafanya mashine iwe strong balaaa, na pia inakuwa kimtindo.

Aisee hayo madhara mbona mimi sipati, sijui kuwahai kufika kileleni, mara sijui nini, mimi sipati hivyo vitu.

Madhara yapo wapi wanachama wenzangu??


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Madhara yake utayaona baada ya muda mfupi ujao kwenye maisha yako (near future)!

Halafu ogopa sana kitendo ambacho unakifanya leo lakini madhara yake yanakuja baadae!

Mfano wake ni magonjwa yasiyo ambukiza yanayesa watu wengi siku hizi kutokana na mifumo ya maisha isiyofaa.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
hakunaga madhara kabisa basi tu watu wanamatatizo yao wanaamua singizia chaputa.
 
Haina madhara kijamii, kiafya na hata kiuchumi
Endelea tu mkuu, nasikia Zero IQ ndio mwenyekiti wao tafadhali wasiliana nae akupe kadi ya kudumu ya uanachama
 
Madhara yake utayaona baada ya muda mfupi ujao kwenye maisha yako (near future)!

Halafu ogopa sana kitendo ambacho unakifanya leo lakini madhara yake yanakuja baadae!

Mfano wake ni magonjwa yasiyo ambukiza yanayesa watu wengi siku hizi kutokana na mifumo ya maisha isiyofaa.




Sent using Jamii Forums mobile app

Kipindi naanza nyeto wadau walisema madhara nitayoana baadae, sasa hiyo baadae ni lini?? Maana since 2009 nakula nyeto


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom