Sioni madhara ya nyeto

Madhara yake utayaona baada ya muda mfupi ujao kwenye maisha yako (near future)!

Halafu ogopa sana kitendo ambacho unakifanya leo lakini madhara yake yanakuja baadae!

Mfano wake ni magonjwa yasiyo ambukiza yanayesa watu wengi siku hizi kutokana na mifumo ya maisha isiyofaa.




Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kudanganya mkuu hizo story tu za kina ndodi ila kula vizuri fanya mazoezi ndo uchawi wa game ulipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nyeto ina madhara makubwa siku za usoni, kama huamini waulize wenye age ya 40+ walopitia hiyo kitu ndo watakuhadithia majuto ya kunyetuka
 
2009 wakati upo form one ulikuwa na miaka 14 +- na sasa una miaka 25+ -

Then unaleta ushuhuda wakati safari ya maisha bado hujaianza , na KKB wenzio wanakusapoti... then unaona huo mchezo ni sawa as if upo temporary hapa duniani....

Pole sana son.


#Life start at 40.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenye miaka 40+ njooni mtoe ushuhuda wa madhara ya nyeto.








Hali ilivyo ngumu na magonjwa yanavyongezeka itabidi Chaputa wajiandae kupokea mafuriko ya wanachama hasahasa katika awamu ya tano.
 
Back
Top Bottom