Entreprenuare
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,616
- 1,714
- Thread starter
- #61
2009 wakati upo form one ulikuwa na miaka 14 +- na sasa una miaka 25+ -
Then unaleta ushuhuda wakati safari ya maisha bado hujaianza , na KKB wenzio wanakusapoti... then unaona huo mchezo ni sawa as if upo temporary hapa duniani....
Pole sana son.
#Life start at 40.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahyo madhara nitaanza kuyaona baada ya muda gani??
Sent from my iPhone using JamiiForums