Sioni kiungo kama Bruno Fernandez kwa sasa Duniani

Bruno kuna mambo anatakiwa ajifunze kutoka kwa Niyonzima Hakizimana Fadhili na Cleutos Chama Cha Mapinduzi ili aweze kuwa na sifa unazompa sasa
 
Mtakuja kumkataa wenyewe msimu ujao.
Nyie ndo mliwasifu akina na delay falcao Fred do maria Sanchez baily lingard na magarasa kibao bado hamjifunzi nyie women united. Kushinda mechi mbili unatamba hv
 
Mtakuja kumkataa wenyewe msimu ujao.
Nyie ndo mliwasifu akina na delay falcao Fred do maria Sanchez baily lingard na magarasa kibao bado hamjifunzi nyie women united. Kushinda mechi mbili unatamba hv
Mkuu nitajie timu yako
 
Jamaa anajua anafunga anapiga assist, anaanzisha mashambulizi, anapiga faulo za hatari kwa sasa sioni kiungo kama yeye Duniani ana vitu vya ziada. Nakumbuka Luis Figo jamaa anapita mulemule kaifanya Manchester kuwa timu ya tofauti kabisa.
Mashabiki wa ibilisi mwekundu mnashida sana
 
Shida ya washabiki wa Man u manaangalia mechi zenu tu nakujiona hamna kama nyie. Mtazame na ligi nyingine ndio muone mapungufu yenu.
 
Hendo Le Capitain wa mabingwa wa nchi, ulaya, duniani na ulimwenguni kote ukijumlisha mars ,pluto,saturn,jupiter,uranus,mercury na venus ndio kiungo bora kwasasa hizo takataka yingine ziwe va SUBRA KWANZA.
 
Pogba bado ni habari nyingine.


James bado ni mchezaji mzuri kwa umri wake bado anakua.


Lingard ni takataka.
Hahahaha umenichekesha ulivyomalizia. Anyway, sijasema Pogba kaisha isipokua projection za mashabiki ndiyo zinafanya jamaa aonekane miyeyusho. Ila hakuna timu itamuweka bench Pogba kama hana majeruhi.
 
Back
Top Bottom