Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 13,911
- 28,204
Father kawaze tena uje. Awamu hii Gen Z wapo sivingine zaidiMy people,
Haya ni maoni yangu binafsi na si lazima yanafanane na wengi wenu,na kutofautiana na wengi wenu nisionekane napinga harakati za kuikomboa Tanganyika
Kuna msemo mmoja wa kiingereza unasema ukitaka kumuua mbwa basi mpe jina baya,maana yake ni kwamba kwa kawaida au akili ya kawaida huwezi kumuua mbwa bila sababu na hasa kwa jamii ambayo wanapenda wanyama wa kufuga.
Ili umuue na kuepuka maswali mengi basi mapema sana unampa jina baya,na Watawala nao wametumia mfano huo huo kuwapa Gez Z jina baya ili wahalalishe kudili nao bila kuwa na tashuwishu nyingi.
Ndio maana umesikia wameitwa wahuni au wezi wa kuiba mali za watu na kuharibu miundo mbinu kama ambavyo tumeyaona yaliyotokea tarehe 29/10/25
Kwahiyo hawa Gen Z ambao wanapanga tena kuandamana tar 9/12/25 siku ya uhuru hawatakuwa na sifa nyingine yoyote ile isipokuwa ni ile ile ya kuitwa WAHUNI NA VIBAKA
Hapo utatumika msemo ule ule ukitaka kumuua mbwa basi muite jina baya,hapo kuna vijana wengine tena watauwawa,tena safari hii kwa kutaka kuiangusha Mamlaka au Serikalli
Msione hii tume ya Maridhiano imeundwa haraka,watapitia humo humo kwamba Serikali ina nia thabiti ya kuleta suluhu lakini wahuni wachache wanakwamisha hizi juhudi na kuleta machafuko hapa nchini,kwahiyo hawatavumiliwa na watashughulikiwa
Vile vile Serikali imeahidi kwamba ndani ya siku 100 italeta au kuanza mchakato wa kupata katiba yenye kuridhiwa na wananchi,hiyo ni fimbo nyingine ya kuwachapia Gen Z ambao sasa wanajulikana kama wahuni wachache.
Kwahiyo ukiangalia kwa mapana yake ni kwamba Serikali imechukua hatua kadhaa ili kuleta kinachoitwa maridhiano lakini kwa upande wa pili lawama zitakuja kwa GEN Z kwamba ni wahuni wachache ambao wanataka kuharibu amani ya nchi,hapo watashughulikiwa,je watashughulikiwa kwa kutumia nguvu kama ya awali? Hakuna anayejua muda utaongea.
Pili sioni uungwaji mkubwa wa watu katika kufanikisha hayo maandamano,watu wameumizwa na yale yaliyo tokea 29 october,wamepoteza wapendwa wao na sidhani kama watakuwa tayar kupoteza wengine tena.
Tatu ile athari ambayo jamii iliipata kama matokeo ya kuzuiwa majumbani na kuacha shughuli zao ili waathiri watu wengi sana,sioni hamasa ya watu kuingia kwenye mazingira yale tena
Nataka kusema nini hapa,maana yake ni kikundi kidogo tu cha watu wataingia barabarani na kukosa uhalali au sapoti ya watu wengi hivyo kukosa ile nguvu ya maandamano ambayo ingetakiwa itikise watawala na hatimaye nguvu ya umma ipate kuonekana
My take, ni ngumu sana kuuondoa utawala kwa maandamano ambayo hayana kiongozi,kwahiyo wote tunataka mabadiliko lakini sioni kuleta mabadiliko kwa stahili hii,sana sana italeta maafa na vijana wengi kupoteza uhai
Naamini kabisa kilichofanyika tar 29 October kimeiamsha dunia na kujua nini kinaendelea hapa Tanzania,ubaya umeonekana na sauti zimesikika,naamini hili halita pita hivi hivi ila litakuwa na athari chanya siku chache zijazo
Mungu ibariki Afrika na Mungu ibariki Tanzania
Ni hayo tu!
Mashekhe na BAKWATA wamepanga kuchoma makanisa. Wadhibitiwe mapema.Haya ni maoni yangu binafsi na si lazima yanafanane na wengi wenu,na kutofautiana na wengi wenu nisionekane napinga harakati za kuikomboa Tanganyika
Umewaza UjingaMy people,

Na-share same school of thought na wewe. Kongole kwa namna ulivyofadavuaMy people,

Hapa na mie nimemshangaa, by the way watawala hawawezi sapoti harakati za gen z maana zinalenga kutia kitumbua chao mchanga...so lazima nao wakomae hawawezi kukubali kirahisi wakati jeshi la policccm linawatii wao kwa ujinga wao!.Hata maana ya GEN Z hujui unadhani wamepewa na serikali, akili kisoda wewe
Kutetea HAKI siyo JUKUMU la mtu mmoja.My people,
Haya ni maoni yangu binafsi na si lazima yanafanane na wengi wenu,na kutofautiana na wengi wenu nisionekane napinga harakati za kuikomboa Tanganyika
Kuna msemo mmoja wa kiingereza unasema ukitaka kumuua mbwa basi mpe jina baya,maana yake ni kwamba kwa kawaida au akili ya kawaida huwezi kumuua mbwa bila sababu na hasa kwa jamii ambayo wanapenda wanyama wa kufuga.
Ili umuue na kuepuka maswali mengi basi mapema sana unampa jina baya,na Watawala nao wametumia mfano huo huo kuwapa Gez Z jina baya ili wahalalishe kudili nao bila kuwa na tashuwishu nyingi.
Ndio maana umesikia wameitwa wahuni au wezi wa kuiba mali za watu na kuharibu miundo mbinu kama ambavyo tumeyaona yaliyotokea tarehe 29/10/25
Kwahiyo hawa Gen Z ambao wanapanga tena kuandamana tar 9/12/25 siku ya uhuru hawatakuwa na sifa nyingine yoyote ile isipokuwa ni ile ile ya kuitwa WAHUNI NA VIBAKA
Hapo utatumika msemo ule ule ukitaka kumuua mbwa basi muite jina baya,hapo kuna vijana wengine tena watauwawa,tena safari hii kwa kutaka kuiangusha Mamlaka au Serikalli
Msione hii tume ya Maridhiano imeundwa haraka,watapitia humo humo kwamba Serikali ina nia thabiti ya kuleta suluhu lakini wahuni wachache wanakwamisha hizi juhudi na kuleta machafuko hapa nchini,kwahiyo hawatavumiliwa na watashughulikiwa
Vile vile Serikali imeahidi kwamba ndani ya siku 100 italeta au kuanza mchakato wa kupata katiba yenye kuridhiwa na wananchi,hiyo ni fimbo nyingine ya kuwachapia Gen Z ambao sasa wanajulikana kama wahuni wachache.
Kwahiyo ukiangalia kwa mapana yake ni kwamba Serikali imechukua hatua kadhaa ili kuleta kinachoitwa maridhiano lakini kwa upande wa pili lawama zitakuja kwa GEN Z kwamba ni wahuni wachache ambao wanataka kuharibu amani ya nchi,hapo watashughulikiwa,je watashughulikiwa kwa kutumia nguvu kama ya awali? Hakuna anayejua muda utaongea.
Pili sioni uungwaji mkubwa wa watu katika kufanikisha hayo maandamano,watu wameumizwa na yale yaliyo tokea 29 october,wamepoteza wapendwa wao na sidhani kama watakuwa tayar kupoteza wengine tena.
Tatu ile athari ambayo jamii iliipata kama matokeo ya kuzuiwa majumbani na kuacha shughuli zao ili waathiri watu wengi sana,sioni hamasa ya watu kuingia kwenye mazingira yale tena
Nataka kusema nini hapa,maana yake ni kikundi kidogo tu cha watu wataingia barabarani na kukosa uhalali au sapoti ya watu wengi hivyo kukosa ile nguvu ya maandamano ambayo ingetakiwa itikise watawala na hatimaye nguvu ya umma ipate kuonekana
My take, ni ngumu sana kuuondoa utawala kwa maandamano ambayo hayana kiongozi,kwahiyo wote tunataka mabadiliko lakini sioni kuleta mabadiliko kwa stahili hii,sana sana italeta maafa na vijana wengi kupoteza uhai
Naamini kabisa kilichofanyika tar 29 October kimeiamsha dunia na kujua nini kinaendelea hapa Tanzania,ubaya umeonekana na sauti zimesikika,naamini hili halita pita hivi hivi ila litakuwa na athari chanya siku chache zijazo
Mungu ibariki Afrika na Mungu ibariki Tanzania
Ni hayo tu!
Vipi wale wahuni waliotajwa na Nyerere then Polepole naye akawataja, je hao sio wezi?Ndio maana umesikia wameitwa wahuni au wezi wa kuiba mali za watu na kuharibu miundo mbinu
Mara zote, maandamano ya kudai haki huwa hayana kiongozi, kila mtu huwa ni kiongozi anayejituma kuandamana mwenyewe.My people,
Haya ni maoni yangu binafsi na si lazima yanafanane na wengi wenu,na kutofautiana na wengi wenu nisionekane napinga harakati za kuikomboa Tanganyika
Kuna msemo mmoja wa kiingereza unasema ukitaka kumuua mbwa basi mpe jina baya,maana yake ni kwamba kwa kawaida au akili ya kawaida huwezi kumuua mbwa bila sababu na hasa kwa jamii ambayo wanapenda wanyama wa kufuga.
Ili umuue na kuepuka maswali mengi basi mapema sana unampa jina baya,na Watawala nao wametumia mfano huo huo kuwapa Gez Z jina baya ili wahalalishe kudili nao bila kuwa na tashuwishu nyingi.
Ndio maana umesikia wameitwa wahuni au wezi wa kuiba mali za watu na kuharibu miundo mbinu kama ambavyo tumeyaona yaliyotokea tarehe 29/10/25
Kwahiyo hawa Gen Z ambao wanapanga tena kuandamana tar 9/12/25 siku ya uhuru hawatakuwa na sifa nyingine yoyote ile isipokuwa ni ile ile ya kuitwa WAHUNI NA VIBAKA
Hapo utatumika msemo ule ule ukitaka kumuua mbwa basi muite jina baya,hapo kuna vijana wengine tena watauwawa,tena safari hii kwa kutaka kuiangusha Mamlaka au Serikalli
Msione hii tume ya Maridhiano imeundwa haraka,watapitia humo humo kwamba Serikali ina nia thabiti ya kuleta suluhu lakini wahuni wachache wanakwamisha hizi juhudi na kuleta machafuko hapa nchini,kwahiyo hawatavumiliwa na watashughulikiwa
Vile vile Serikali imeahidi kwamba ndani ya siku 100 italeta au kuanza mchakato wa kupata katiba yenye kuridhiwa na wananchi,hiyo ni fimbo nyingine ya kuwachapia Gen Z ambao sasa wanajulikana kama wahuni wachache.
Kwahiyo ukiangalia kwa mapana yake ni kwamba Serikali imechukua hatua kadhaa ili kuleta kinachoitwa maridhiano lakini kwa upande wa pili lawama zitakuja kwa GEN Z kwamba ni wahuni wachache ambao wanataka kuharibu amani ya nchi,hapo watashughulikiwa,je watashughulikiwa kwa kutumia nguvu kama ya awali? Hakuna anayejua muda utaongea.
Pili sioni uungwaji mkubwa wa watu katika kufanikisha hayo maandamano,watu wameumizwa na yale yaliyo tokea 29 october,wamepoteza wapendwa wao na sidhani kama watakuwa tayar kupoteza wengine tena.
Tatu ile athari ambayo jamii iliipata kama matokeo ya kuzuiwa majumbani na kuacha shughuli zao ili waathiri watu wengi sana,sioni hamasa ya watu kuingia kwenye mazingira yale tena
Nataka kusema nini hapa,maana yake ni kikundi kidogo tu cha watu wataingia barabarani na kukosa uhalali au sapoti ya watu wengi hivyo kukosa ile nguvu ya maandamano ambayo ingetakiwa itikise watawala na hatimaye nguvu ya umma ipate kuonekana
My take, ni ngumu sana kuuondoa utawala kwa maandamano ambayo hayana kiongozi,kwahiyo wote tunataka mabadiliko lakini sioni kuleta mabadiliko kwa stahili hii,sana sana italeta maafa na vijana wengi kupoteza uhai
Naamini kabisa kilichofanyika tar 29 October kimeiamsha dunia na kujua nini kinaendelea hapa Tanzania,ubaya umeonekana na sauti zimesikika,naamini hili halita pita hivi hivi ila litakuwa na athari chanya siku chache zijazo
Mungu ibariki Afrika na Mungu ibariki Tanzania
Ni hayo tu!
Mambo mengine nyie wakristu mna shida sana mtu aje kuchomaa kanisa mnamwangalia TU, mbona domo kaya Ali uliwa kanisani tena kwa kipigo mbonam mnakua wajinga wajinga sana, nani KERA zama hizi bado nikulialia TU atae sogea kanisani fumua risasiMashekhe na BAKWATA wamepanga kuchoma makanisa. Wadhibitiwe mapema.
Hata polepole ALIKUA kama wewe Kiko wapiiiiiiiiHao nyumbu wanatakiwa watoke nje kwa wingi siku hiyo ili zoezi la kuwapiga risasi liwe rahisi wakibaki ndani wataendelea kusumbua kwahiyo watoke nje kwa wingi ila wawaage mama zao kabisa hatutarajii kuona mama zao wakijiliza mitandaoni maana offer ya mazishi ya bure kifurushi bado hakijaisha.
Nasikitika kuona think tank wa Gen-Z hujaelewa chochote.Umeandika nini sasa hapo?
Hivi huyo mtu atayewaza mawazo kama yako ya "serikali ina nia thabiti ya kuleta suluhu kupitia tume huru" atakuwa ni mtu ambaye ameyaona mauaji ya 29 October?
Je huyo mtu ina maana hajui suluhu ya haya ni huyo huyo anayeitwa suluhu ajiuzulu kwasababu ni muhusika wa kwanza wa matukio yote ya mauaji yaliyotokea?
Je huyo mtu atakuwa alikuwepo nchini wakati mitandao ikizimwa ili kutoa fursa kwa wauaji kufanya uovu wao bila kuonekana na dunia?
Je huyo mtu mwenye mawazo hayo atakuwa ana amini miili ya watu iliyotapakaa nchini ni video za kutengeneza za AI?
Je huyo mtu mwenye mawazo hayo atakuwa anaamini uchaguzi ulifanyika kikamilifu na matokeo ni halali kama yalivyotangazwa?
IKiwa utajibu Hapana kwenye moja ya swali kati ya hayo, basi jitafakari sana kuhusu standard ya empathy yako.
Yanatakiwa yachomwe mbona wao wanasupport mali za watu kuchomwa moto na wahuni wao?Mashekhe na BAKWATA wamepanga kuchoma makanisa. Wadhibitiwe mapema.
Makanisa yaongezewe ulinzi.. Mashekhe na BAKWATA wamepanga kuyachoma moto.Mkuu hao h
Mambo mengine nyie wakristu mna shida sana mtu aje kuchomaa kanisa mnamwangalia TU, mbona domo kaya Ali uliwa kanisani tena kwa kipigo mbonam mnakua wajinga wajinga sana, nani KERA zama hizi bado nikulialia TU atae sogea kanisani fumua risasi