Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 179,657
- 197,314
labda asiwe mndengereko au mzaramo wana kiburi sana hawa
Kabila siyo kitu, malezi/mazingira ndiyo kila kitu. Hao uliyowataja ni wepesi midomoni lakini siyo mikononi kwa maana ya kwamba wanaongea sana na wana mikwara lakini siyo wapiganaji.