:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big😀aaaaah hiyo kali! Ilibidi atake kujua kama ni kusuka tu au ana uvimbe wa kichwa hivyo anatakiwa hela ya matibabu!!! Hiyo Kali sana. Na asipotoa wenzie watamtolea hapo inageuka kazi nyingine tena:smile-big::smile-big::smile-big:
Bei ya techno mbili na memory card zake na charger zake na headphone zake na manual zake na warranty ya mwaka mzima na zawadi ya protector na mfuko wa kubebea
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.