unajua kuna watu humu wanadhan haya majina ya kafir na yahudi yametungwa na shekhe ponda.ni majina ambayo mungu aliwachagulia mlioko against naye.
wanaelewa lakini udini umewatawalahaaa wa TZ tuendako c.kuzuri kwa hizi CHOKOCHOKO. kwani INDIA na PAKSITAN walianza kama sis leo wametengana na ni maadui wakubwa kisa ni UDINI je wapo wanao elewa ivyooo!!!!"!"!
matusi umeyaanza mwenyewe mie nimekuuliza tu huo ushuzi we huna, au wanya keki?