Sio ukabila,ni kutaka kujua tu

hamna kitu kama hicho, kila mtu ana tabia yake binafsi maana kabila halina tabia ila watu wake ndo wana tabia
 
Wakuu,hivi kuna ukweli wowote kuwa tabia za mtu husadifu kabila lake?

Wewe kwenu wapi. wahaya wanatabia flani flani zinachefua. wachaga tamaa mbele mauti nyuma. wanyamwezi wavivu. waha wachawi. wafipa wachawi. wabena wapole na wachapa kazi. wakwere wavivu. wangoni walevi na wazinzi. wameru wagonvi. wanyaturu umalaya. wagogo wachafu. wazigua wachawi. wasukuma ndio nawakubali. wahaya misifa na umalaya. warangi wanaongea sana. WAZARAMO utajaza
 

Kaka we nae unaonekana una hasira na wahaya! Ila hizi tabia za makabila zilikuwepo sana miaka ya nyuma. Nowadays watu wengi wamebadilika sana.
 
mimi ni mnyambo nawajua sana wahaya kwa misifa. mmoja jana kaulizwa na muuza chips..HII CHIPS NA MAYAI NICHANGANYE. mhaya kwa ulimbukeni akajibu CONFUSE . akijua ko confuzi ni kuchanganyikiwa ya chips zichanganywe na mayai
Aisee...! CONFUSE.
 

SIdhani kama utafiti wako upo sahii zaidi naona utafiti wako unaongozwa na hisia binafsi.
 
mimi ni mnyambo nawajua sana wahaya kwa misifa. mmoja jana kaulizwa na muuza chips..HII CHIPS NA MAYAI NICHANGANYE. mhaya kwa ulimbukeni akajibu CONFUSE . akijua ko confuzi ni kuchanganyikiwa ya chips zichanganywe na mayai

Hahaha anataka chips zichanganyikiwe?
 
Hapa jee?
 

Attachments

  • 1390286322817.jpg
    56.2 KB · Views: 479

Wakwere wana nini?!
 
Kuna ukweli kwa asilimia kubwa ila si kigezo cha ku-generalize kuhusu kila mtu wa kabila fulani anakua na tabia tajwa..
 
Dah! kweli bhana wahaya wanaongoza kwa Misifa... yani hata kama hajui, yy atajifanya anajua tu.. na neno lao Actually
Siyo wote..."sema Baadhi yao hivi" usiGeneralize!!
Just be fair.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…