Sio siri Single Mother's wanajua kupenda

Sio siri Single Mother's wanajua kupenda

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
6,238
Reaction score
11,907
Ni tofauti na hawa vimodal kazi yao kubipu, utasikia baby nirushie vocha, msimu huu wa sikukuu single mother hatakama utamnunulia nguo ya sikukuu ni upende hawalazimishi kama hawa.com.

Single mother kwanza anajua kujali na kuhandle na anajua majambozi kitandani maana anakula ugali mkubwa na samaki tofauti na madot com wanakula chips kuku hata kiuno hawakati wanalala kama gogo.

Wapo vizuri kifedha na hawana tamaa za kuchepuka ili wajikimu, akikupenda kakupenda tofauti na hawa madot com.simu wanapiga hawabip ovyo kama hawa wengine.

Nampenda sana single mother, vichenchede kaa kando mizinga na michepuko kibao.
 
Luv Kwa upande wangu naona wana msimamo
 
Kama single motherz wangekuwa na upendo kama huo waliowazalisha wasingewaacha....
Wengine umri umeenda hawana jinsi tofauti na masista du
 
Kizuri chajiuza...kibaya chajipendekeza.
 
Kama single motherz wangekuwa na upendo kama huo waliowazalisha wasingewaacha....
Wengine umri umeenda hawana jinsi tofauti na masista du

Hayo ya nyuma ni historia yeye anazungumzia hali halisi ya wakati wa sasa
 
Ngoja nijaribu mmoja asiozidi fifty yrs maana mimi ni thirty.
 
Wanajua kupenda au wanakufanyia Sanaa ili uwasaidie kulea??????
 
Belle Wala Ata Sijaombwa Mapene.Na Uyo Mama Wakuta Ana Kazi Nzuri Tu Na Ana Shida Ya Makaratasi
 
Wanawake kama hawako stable kiuchumi wanakuwaga hawana option
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom