Sio siri huyu Mzigua90 ananichanganya sana

Sio siri huyu Mzigua90 ananichanganya sana

Usimsikilize huyo winga Lamomy bn yy akishakosa wateja anaanza kunisakazia kila ID ya kike😁

Ukwel ni kuna ID kitambo nimedata na maandishi yake sema mm nimechagua kuangalia tu
😂😂😂😂 tabu leleh lah!
Ww niambie mimi ntajua huyo ni kweli pisi au tumepigwa!! Winga mzima unakuwa muoga?? Mbona wateja mnawapanga itakuwa demu??
 
Wakongwe mnaujua ukweli
Wakongwe wamekula sana pisi za humu aisee. Kuna njemba moja kongwe humu ina body count ya humu 20+. Kazi ni kubadili ID tu halafu inaendelea kuwatafuna.

If you are not careful this forum can resemble a brothel. F**k at your own risk!
 
Back
Top Bottom