Miji mingine ya Rwanda Hali ikoje? Naona Kama Kila kitu Ni Kigali Kigali Kigali.Kigali kuzuri sana, na amani imetawala.
Swali zuri.Miji mingine ya Rwanda Hali ikoje? Naona Kama Kila kitu Ni Kigali Kigali Kigali.
We dgo nmekutaftaUkipenda picha unaweza ndondokea mogadishu
Swali zuri.
Hakuna passport ya hela hio ndugu.karibuni sana at any time,ni passport ya buku 15 tu.
Muwe mnaonyesha na hayo maendeleo ya miji mingine ya Rwanda.Inaonekana Kama Kigali ndiyo inakula peke Yake karibu keki yote ya taifa.Na nguvu kubwa ya maendeleo inawekezwa Kigali zaidi!!!!Nice question! kwa Sasa ni mda mwafak wa ku kuza miji saidizi,Na kwa sasaivi ofisi kubwa za Uuma zimesha hamia kwenye miji tofauti,ili kusogezea hizo huduma watu wachini na kuwapa mzunguko wa hela. watu wa kigali wao hizo huduma kuzi access ni by online.
Ni kimkoa kidogo hapo ndo katikati ya mkoa wa RwandaMiji mingine ya Rwanda Hali ikoje? Naona Kama Kila kitu Ni Kigali Kigali Kigali.
Hio ni miji ya: Gisenyi (West) karibu na DRC, Musanze (North) karibu na Uganda, na Butare (South) karibu na Burundi. Una swali lingine?Muwe mnaonyesha na hayo maendeleo ya miji mingine ya Rwanda.Inaonekana Kama Kigali ndiyo inakula peke Yake karibu keki yote ya taifa.Na nguvu kubwa ya maendeleo inawekezwa Kigali zaidi!!!!
Kumbee basi mororoo itabid nifanye mpango mwaka huu aiseekaribuni sana at any time,ni passport ya buku 15 tu.