Sio New York jamani. Ni Convetion Center ndani ya Kigali

Mr Putin

JF-Expert Member
Feb 13, 2019
486
491
Convetion Center na pacha wake Radisson Bleu Hotel.

radisson_blu4f45-fea5b.jpg
kigali7.jpg
2019-05_rhg_ef7b-7fdeb.jpg
radisson-kigali-68_orig.jpg
2018 YCC.jpg
 
Swali zuri.

Nice question! kwa Sasa ni mda mwafak wa ku kuza miji saidizi,Na kwa sasaivi ofisi kubwa za Uuma zimesha hamia kwenye miji tofauti,ili kusogezea hizo huduma watu wachini na kuwapa mzunguko wa hela. watu wa kigali wao hizo huduma kuzi access ni by online.
 
Muwe mnaonyesha na hayo maendeleo ya miji mingine ya Rwanda.Inaonekana Kama Kigali ndiyo inakula peke Yake karibu keki yote ya taifa.Na nguvu kubwa ya maendeleo inawekezwa Kigali zaidi!!!!
 
Hio ni miji ya: Gisenyi (West) karibu na DRC, Musanze (North) karibu na Uganda, na Butare (South) karibu na Burundi. Una swali lingine?
IMG_20190813_091311.jpeg
IMG_20190813_091448.jpeg
IMG_20190813_091351.jpeg
IMG_20190813_091641.jpeg
IMG_20190813_091548.jpeg
 
Back
Top Bottom