Sio New York jamani. Ni Convetion Center ndani ya Kigali

Watanzania hata hatueleweki vitu kama hvyo vikifanywa nchi nyingine mnasifiaaa lakini vikifanywa kwetu mnaponda hatutaki maendeleo ya vitu hivi hayo mambo sindio anayafanya jpm tena zaidi ya hayo unafikiri sgr ingetengeneza kama hizo ngapi au mradi wa umeme wa rufiji hila kwenu mnaponda tu wakifanya jirani fresh.
 
Back
Top Bottom