Sio muda wote ni Injili!!

Sio muda wote ni Injili!!

Kila mtumishi wa Mungu atakula vya madhabahuni. Kutumika shambani mwa Bwana kunalipa.
 
Kuna ubaya gani Askofu Kakobe akijinafasi kwa malengo yake ? Achaeni wivu wa kishetani ! Mbona Rais wetu hatulii home ?!

Hakuna shida ndugu, wacha ajinafasi!
 
Mungu asema "Ni askari yupi aendaye vitani kwa gharama zake mwenyewe ?{1KOR 9:7-14}
Ask.Kakobe ni Askari mwema wa BWANA.
 
Wacha ajilie vyake. Keshazikusanya za kutosha kutoka kwa misukule wake huko dar es salaam.
Hapa anatumbua zile fedha alizowauzia tisheti tu.
bado hajagusa sadaka na fungu la kumi.

Hivi kwa nini ma CCM wanamchukia Kakobe?
 
siku hizi zinahubiriwa fwedha na kukosoa dini nyingine si neno tena na mifano mingiiiiiiiiiiiiiiiiiii ya watu waliojitolea fedha ni lazima utalainika tu (kwahiyo acha ale faida ya biashara) pigeni hela manabii
 
Wacha ajilie vyake. Keshazikusanya za kutosha kutoka kwa misukule wake huko dar es salaam.
Hapa anatumbua zile fedha alizowauzia tisheti tu.
bado hajagusa sadaka na fungu la kumi.

MSALANI;
Hupitwi na jambo?? Mpaka mtumishi wa Mungu unamjadili? Hizo zenu mnapeleka Mlingotini Bagamoyo ili muwagandamize wapinzani hata kuwafisha hamzioni bali mwaona za waumini wa kanisa ati mwasema anakula bata?? Dah!
MUSSA ALLAN; acha wengine waseme si weye. Angalia kwako kunaniii😛oa😛oa😛oa
 
Mmeshindwa kuwawajibisha Escrow mnahamia maaskofu na wachungaji....chuki binafsi zinawasumbua hapa...ukienda Disco hulalamiki matumizi ya kiingilio chako utoacho...usimnenee mtu ubaya kama huna uhakika...huyo askofu sina ubia nae lakini siwez sema kapora watu kwani halazimishi / kuwatolea mifukoni waumini wake...kama kazi yake ni rahisi basi muifanye pia
 
Baada ya kazi kubwa Canada, ni haki Kakobe apumzike kwa muda faragha na kufanya kazi ya maombezi hapo.REJEA TOVUTI YAKE.
 
Watoa sadaka kubwa,nyingi ni Wazinzi,Walevi Washirikina,Waasherati wanamtolea shetani lakini hampigi kelele kwa nini ?
 
Mwamini Mungu atakuwa na sifa ya kutoa Sadaka na Zaka kwa Mungu wake kupitia watumishi wake kama waumini wa kanisa FGBF.
 
Kweli ujinga wako ndio mtaji kwa mwenzako.....yaani unakuta mtu yuko radhi alale na njaa ili akatoe sadaka kanisani....alafu ibada ikiisha baba askofu anatoka na vogue yeye na familia kuelekea home kupumzika....mwenzangu na miye unawaza ukatize kichochoro gani ili ufike home...huku ukiumiza kichwa kuwa utakula nini maana hela yote umetoa swadaka....dah..
 
Hakuna kupenda bila kutoa;hata kama maskini
Kumpenda Mola kutajulikana kwa Matoleo
{2KOR 8:1-5;
MAL 3:7-10;
MK 12:41-44
 
Mie ni muumini wa kutoa Sadaka na Zaka;ingawa sitoi hapo kwa ask.Kakobe !

"Hakuna ibada bila Sadaka, hata kwa shetani !
 
Kweli ujinga wako ndio mtaji kwa mwenzako.....yaani unakuta mtu yuko radhi alale na njaa ili akatoe sadaka kanisani....alafu ibada ikiisha baba askofu anatoka na vogue yeye na familia kuelekea home kupumzika....mwenzangu na miye unawaza ukatize kichochoro gani ili ufike home...huku ukiumiza kichwa kuwa utakula nini maana hela yote umetoa swadaka....dah..
Waumini wa Kanisa la Mungu Hawampi Askofu kakobe wanampa Mungu sadaka zao askofu kakobe amesha tajirika na sadaka za hao waumini wake. Ingawa Bwana Yesu alisha wahi kusema kıuwa Tajiri hawezi kuingia ndani ya Ufalme wa Mungu mpaka Ngamia aingie kwenye Tundu ya Sindano na hilo kwa Ngamia kuingia kwenye Tundu ya Sindano haliwezikani na Ma-Tajiri pia hawawezi kuingia ndani ya Ufalme wa Mungu kamwe.
 
Back
Top Bottom