Wacha ajilie vyake. Keshazikusanya za kutosha kutoka kwa misukule wake huko dar es salaam.
Hapa anatumbua zile fedha alizowauzia tisheti tu.
bado hajagusa sadaka na fungu la kumi.
hivi kwa nini ma ccm wanamchukia kakobe?
Wacha ajilie vyake. Keshazikusanya za kutosha kutoka kwa misukule wake huko dar es salaam.
Hapa anatumbua zile fedha alizowauzia tisheti tu.
bado hajagusa sadaka na fungu la kumi.
Bwana Yesu amempanda Punda inakuwaje Askofu kakobe ampande Ngamia? au ndio kujirusha huko?:shock:Askofu Zacharia Kakobe akila 'bata'
Waumini wa Kanisa la Mungu Hawampi Askofu kakobe wanampa Mungu sadaka zao askofu kakobe amesha tajirika na sadaka za hao waumini wake. Ingawa Bwana Yesu alisha wahi kusema kıuwa Tajiri hawezi kuingia ndani ya Ufalme wa Mungu mpaka Ngamia aingie kwenye Tundu ya Sindano na hilo kwa Ngamia kuingia kwenye Tundu ya Sindano haliwezikani na Ma-Tajiri pia hawawezi kuingia ndani ya Ufalme wa Mungu kamwe.Kweli ujinga wako ndio mtaji kwa mwenzako.....yaani unakuta mtu yuko radhi alale na njaa ili akatoe sadaka kanisani....alafu ibada ikiisha baba askofu anatoka na vogue yeye na familia kuelekea home kupumzika....mwenzangu na miye unawaza ukatize kichochoro gani ili ufike home...huku ukiumiza kichwa kuwa utakula nini maana hela yote umetoa swadaka....dah..