Sio mjamzito hedhi imekata

Ndechumia

JF-Expert Member
Jul 15, 2011
1,103
418
Wadau, wataalam
Nini chanzo za kutokupata hedhi ili hali mtu sio mjamzito?
aliwahi kuambiwa ana hormonal imbalance akatumia dawa hedhi zikarudi na kukata yapata kama miez 5 hivi.

dada ana miaka 27, hajawahi kuzaa na hajawahi kutoa mimba ( kwa maelezo yake)

Je bila mtu kupata hedhi anaweza kupta MIMBA?

ushauri wenu ni wa muhim coz tunapanga kufunga ndoa siku za uson

asanten
 
Alitumia dawa gani?
 
arudi hospital tena kwa matibabu.
Hiyo hormonal imbalance inasababisha mtu anaweza pata hedhi bila kukata kwa muda mrefu au akashindwa kupata hedhi kabisa kama case ya huyo unaemuelezea.
Dawa zipo afate ushauri wa daktari atakuwa poa.
Uwezekano wa kupata mtoto upo akitibiwa
 
Wadau, wataalam
Nini chanzo za kutokupata hedhi ili hali mtu sio mjamzito?
aliwahi kuambiwa ana hormonal imbalance akatumia dawa hedhi zikarudi na kukata yapata kama miez 5 hivi.

dada ana miaka 27, hajawahi kuzaa na hajawahi kutoa mimba ( kwa maelezo yake)

asanten

TATIZO LA KUKOSA HEDHI ( AMENORRHEA )

TATIZO LA KUKOSA HEDHI ( AMENORRHEA )

Kuto kupata hedhi kuna pelekea mawazo na mashaka kwa wanawake wengi pindi tatizo hili linapo jiri
Tatizo hili huweza kutokea
Mapema Mwanzoni ( PRIMARY ) ambapo msichana hua katika umri wa kuvunja ungo (16) ila hapati mabadiliko ya kimaumbile yanayo ambatana na kuvunja ungo PIA anaweza kupata dalili zote za kuvunja ungo kama kuota nywele sehemu za siri na kuota matiti ila bado pia hapati hedhi
Pia linaweza kutokea

Badae katika Maisha ( SECONDARY ) Ambapo mwanamke hayupo katika hali yoyote ya kumzuia kupata hedhi kama vile ujauzito, kunyonyesha au kutokuwepo katika kipindi cha Menopause yaani yupo chini ya miaka arobaini.

NININI HUSABABISHA KUTOKUPATA HEDHI

> Kupata Hitilafu katika viungo vinavyopelekea mwanamke kupata hedhi ambavyo ni matezi yake ya hypothalamus, pituitary, kizazi (uterus) na kiwanda cha kutengenezea mayai (ovaries)

> Madhara yanayo tokana na matibabu ya kansa

> { functional hypothalamic amenorrhoea } hii ni hali inayo kusanya sababu nyingi za kawaida ambazo

ni

> Msongo wa Mawazo Kupungua mwili Kuzidisha kati ya kula au mazoezi na pia maradhi

> Kulogwa au Kua na Majini Mahaba

Matibabu wasiliana na mimi kwa kubonyeza hapa.
Mawasiliano

kwa kweli jina la dawa sizikumbuki...ila nitaongea nae ili aniambie coz detail za dawa alibaki nazo.

Natafuta gia ya kumwingia wakati coz ana wasiwasi sana kuhusiana na suala hili.
 
hedhi ya siku mbili tu ambayo ni ndogo tofauti na kawaida humaanisha nini? au ni dalili za ugonjwa gani ikiwa miezi ilopita imetoka nyingi tu
 
Back
Top Bottom