Beby eti kweli mimi nina kibamia?
HahahaahhahahaahahahahahaNa uwafundishe maneno ya kuongea muda huo sio maswali ya kibashite "we kwenu mpo wangapi"
Unataka ujue ili utusomeshe au?
Hahaha, wee unaelewa mimi sikuulizagi maswali ya hovyohovyo, ni mwendo wa kuruka mayenu tuachana nao, mimi hilo sio swala la kujibu ila kwa kuwasaidia tu ni kwamba uwe na kibamia au usiwe nacho mie nimekupenda hivyo hivyo.
No one has the right to know your size rather than me of which is among ourselves. meaning you and me.
unataka niwaambie ili iweje?
Na uwafundishe maneno ya kuongea muda huo sio maswali ya kibashite "we kwenu mpo wangapi"
Unataka ujue ili utusomeshe au?[/QUOT
kwi kwi kwiiiiii 😀😀😀 mara et ulisomea shule gani A level.....
Sema loloteTehteh
Making Love sio adhabu...Sio assignment inayoenda kusahihishwa...Usiwe so serious ukiwa unafanya Mapenzi utadhani umewekewa target na
bosi basi unakimbia kimbia bila kujua uelekeo unaoenda ni sawa au si sawa...
TULIA....Ongea na Mpenzi wako,anajisikiaje,ulipogusa ni sawa au si sawa,TALK...Inasaidia kupunguza Tension na kulifanya Tendo kuwa adventurous...Kuongea wakati wa tendo kunamsaidia pia Mwanamke kufika kileleni kwa urahisi coz anakuwa at ease state, na anakuelekeza nini cha kufanya....
Sasa kama we ni kidume unarukia tu kama umeona Bajaj za Mwenge, hujui anasikiaje we upo tu kama unajaza upepo..HATUENDI HIVYO...Communication
is Power...Ongeeni,sio mnagunaguna tu no talk utadhani mnasaga Mahindi..Mapenzi hayaendi hivyo, Mapenzi ni sanaa...Kuweni wabunifu mtaona
tofauti...
Sina shaka na wewe maana swahiba anazidi kunawiri.Sema lolote
Eeh nilikwambia lakiniuwiiii kumbe amekuuliza wewe kweli? acha nitangulie nikapaki vitu vyangu aisee sitaweza kuvumilia.
hii ni evidence ya kutosha. opppps moyo wangu mie
hahahahahahaa!yaan kuepusha yote hayo.. mi nikifika kwa mke nachomeka dubwi.. kimya kimya.. namwaga zangu nalala... yaan hamna kuulizana kama umerizika au fyoko gani..!!!!
tutasemeshana kwingine sio pale... maneno yenyewe sina...!