Backtuger soma comment kwa kutulia,nimesema unaweza chukua tahadhari kisha likatokea la kutokea likakwamisha mipango yako,kwakuwa lipo nje ya uwezo wako
Mathalani unafuga kuku wako,umefanya chanjo zote muhimu na kuchukua tahadhari zote mara paap linakuja gonjwa ambalo ni jipya kabisa na hivyo kubatilisha mipango yako uliyofanya huo ni mfano tu