Sio lazima umalinze ulicho kianza

Sio lazima umalinze ulicho kianza

Hata tafiti nyingi za kisayansi zinaishia njiani. Wanaotafuta njia mbadala ndiyo huleta Ugunduzi wa mambo mapya.
 
Mbona hueleweki unawezaje kuanzisha jambo ambalo lipo nje ya uwezo wako?
Backtuger soma comment kwa kutulia,nimesema unaweza chukua tahadhari kisha likatokea la kutokea likakwamisha mipango yako,kwakuwa lipo nje ya uwezo wako

Mathalani unafuga kuku wako,umefanya chanjo zote muhimu na kuchukua tahadhari zote mara paap linakuja gonjwa ambalo ni jipya kabisa na hivyo kubatilisha mipango yako uliyofanya huo ni mfano tu
 
Back
Top Bottom