Sio Lazima Muende Saloon

Sio Lazima Muende Saloon

Ndallo

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
7,619
Reaction score
4,303
Hii ni kwa kina dada tu!
Saloon.jpg
 
umenikumbusha enzi za kuchoma nywele kwa kutumia chungu...hasa wakati wa sikukuu ilikuwa unachomwa nywele ili iwe kama umetia relaxer wenyewe tulikuwa tunaita "kufa kifasheni"
 
Enzi zetu tulikuwa tunatumia kibati unaweka kwenye moto kunyosha nywele
 
Back
Top Bottom