Siyo kweli kwamba Wahaya wote ni wazinzi
Siyo kweli kwamba hakuna mchaga mcheza mpira
Siyo kweli kwamba Wapare wote ni bahili
Siyo kweli kwamba Kikwete hajafanya la maana hadi sasa
Siyo kweli kwamba taifa stars haiwezi kutwaa kombe la mataifa ya afrika!!!
-Siyo kweli kwamba Ridhiwan siyo Bilionea.
-Siyo kweli kwamba watanzania watapata maisha bora.
-Siyo kweli kwamba Lowassa siyo fisadi.
-Siyo kweli kwamba CHADEMA itakuwa chama cha upinzani 2015!
-Siyo kweli kwamba Babu Seya na mwanaye Papii Kocha walibaka.
-Siyo kweli kwamba Kikwete ana mke mmoja tu.
-Siyo kweli kwamba vijana wanaokishabikia CCM wana akili timamu!
Sio kweli kwamba kila mtu anajua kiswahili fasaha
sio kweli kwamba jf members hawajuani!
Sio kweli kwamba nina kiherehere kuchangia thread yako
sio kweli kwamba mtu ambae hajui sio kweli kwamba zake ni mjinga
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.