Haki inapaswa kuonekana kwa wote na kuthibitishwa pasipo shaka

wemamzuri

Member
Jan 27, 2019
75
70
Nchi ni ya wote wanachi na serikali lazima itokane na wananchi wanavyotaka.

Serikali sio KUBWA kuzidi WANANCHI.

maana serikali ni kakundi kadogo kanakopewa DHAMANA kuongoza na kutumikia na kuhudumia WENYENCHI.

SERIKALI inapaswa kutekeleza matakwa ya WANANCHI sio kuwaamulia WANANCHI.

Pia HAKI ndo msingi mkuu WA nchi, wananchi na serikali.

Kama serikali haitaki na haipendi HAKI kwa wote basi inakuwa serikali HARAMU, BATILI, KATILI, na hivyo HAIPASWI kuwepo kuongoza WANANCHI.

HAKI INAPASWA KUONEKANA KWA WOTE NA KUTHIBITISHWA PASIPO SHAKA HASA KWA UWAZI NA KWELI. MFANO

1. UCHAGUZI WA UWAZI NA KWELI
2. AJIRA ZA UWAZI NA KWELI
3. CHEO KTK UWAZI NA KWELI
4. SHERIA ZA UWAZI NA KWELI
5. KATIBA YA UWAZI NA KWELI
6. UTARATIBU WA UWAZI NA KWELI
7. HUDUMA ZA UWAZI NA KWELI
8. MIKATABA YA UWAZI NA KWELI
N. K
 
Back
Top Bottom