Sio kweli kwamba hakuna mwanamke wa peke yako

Mkuu mi pia ninakubaliana na wewe, nina bahati ya kupata wanawake waaminifu kwangu.Nimegundua kuwa ukimpa nafasi mwanamke akupende zaidi then ukaanza mpenda taratibu humfanya azidi kukupenda kila uchao whereby other factors remain constant. Sina shaka na mwanamke nilienae mwaka wa pili sasa sijawahi kuwaza ananisaliti maana kafa kaoza kwa msela,ana wivu huyo balaa ulowahi pelekea kutofautiana nikampotezea kuangalia kipimo cha uvumilivu wake kwa kumuacha about 4 months but still hakuwahi kutembea na mtu zaidi alikuwa analia tu kwa nini nmemtenga. Kiukweli wanawake waaminifu wapo sana, ila wengi tunakosea pa kukabidhi mioyo yetu.
Mwanamke akipenda sio siri anapenda kweli.
Mbona unajichanganya hap kwenye red? Lakini nikuulize ulimkuta bikira?
 
Sikumkuta bikra alikuwa kashachojolewa ila ndio hivyo ni type ya mwanamke anaejiheshimu
 
Yaani jamaa unamfanyia unyama huo halafu unamwita fala,ina maana wewe ndio mwanaume na unastahili sifa na mpaka akawa anamuona jamaa yake kama ****** ndio alikuhadithia,eti anaipokelea simu kifuani huku vitu vimeumana,sasa ngoja siku wewe utakapopokea mpini kunako kundu yako huku umepokea simu kifuani na huku unajamba pra pra praaaa marinda kwishney,acha huo mchezo ni hatari kabisa,.
hahahahahahahhahahah, sawa mkuu ila niliemzungumzia ni demu tu sio mke kama hukunielewa vyema, wake za watu sijaribu wala sina mpango nao, ila mademu hawana dhamana nagonga soft skin tu kwani shingapi
 
Hapo nimekuelewa unisamehe nilikukosea mkuu,.
 
Kipi kipya ambacho umebuni wewe peke yako hapa duniani ambacho hakijafanywa na wenzio? Watu washakojoza miaka 15 lakini wapi! Washatoa offer ya chagua utakacho, chagua nchi mwisho wa siku washagongewa.... Wewe una jipya gani ndg yangu!!? Kukupigia ni Lazima. Chanzo mlevi kuacha bia moja na kuhamia nyingine c kwamba hailevi, anajisikia tu na ndivyo ilivyo kwa mke. Unafikiri K ingekua inafungwa speedometer unadhani gharama yake ingekuaje? Na wafanya biashara wangemuhujumu JPM kabla ya sukari. We jichekeshe tu.
 
Once upon a time, niliamini hivyo, kuna mdada niliyemfahamu akanistua, alikuwa akipendana sana na mumewe (tuliwaita kumbi kumbi mtaani). Tukakutana chuo tukichukua masters kule alikuwa na mchepuko penzi lao lilikua zito kuliko lile la kumbi kumbi ila pia kulikua na dogo aliyekuwa anamsaidia masomo nae kidogo alionjeshwa. Kwa Maneno yake aliniambia bila kung'ata maneno kwamba:
1. Mr.wake pekee ndiye atazaa nae watoto na kumpa kila atakapo
2. Jamaa aliye nae chuo ni professional fucker once in a week lazima .. Akimuambia lamba huku, pikicha 0713, nyonya hana kinyaa
3. Dogo anapewa hamasa tu aongeze bidii ya kufundisha..
BAADA YA KUTAFAKARI, nikaweka shushushu kazini kwa wife ambae nilikuwa namuona kama malaika ... Almanusra nifungwe
 
Usirudie tena mkuu..., ni HATARIIIII... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wee hakikisha tuu kuwa ukiwa na ku, tafuta mali safi..., gonga mechi yako bila refa..., ishia... Hapo utajiliwaza..., ngoma drooo...

Hivi ushajiuliza hii kitu..., inawezekana kweli ktk maisha ya ndoa eti mke unae 30 yrs sasa hajagongwa nje hata mara 1 kweli..?! [emoji15]
Labda unaishi na Malaika....
 
acha kukariri jiamini ndugu haya mambo yako ni kuheshimiana,kupendana na hofu ya Mungu tu kama humuhofu Mungu utazini tu.kama mimi nilivo na mmoja mwenzangu vivo ivo.
hapo nimekariri wapi? nimemalizia kwa kusema amini ni wako pekee,,,,usikurupuke bwege wewe..
 
Mkuu mi pia ninakubaliana na wewe, nina bahati ya kupata wanawake waaminifu kwangu.Nimegundua kuwa ukimpa nafasi mwanamke akupende zaidi then ukaanza mpenda taratibu humfanya azidi kukupenda kila uchao whereby other factors remain constant. Sina shaka na mwanamke nilienae mwaka wa pili sasa sijawahi kuwaza ananisaliti maana kafa kaoza kwa msela,ana wivu huyo balaa ulowahi pelekea kutofautiana nikampotezea kuangalia kipimo cha uvumilivu wake kwa kumuacha about 4 months but still hakuwahi kutembea na mtu zaidi alikuwa analia tu kwa nini nmemtenga. Kiukweli wanawake waaminifu wapo sana, ila wengi tunakosea pa kukabidhi mioyo yetu.
Mwanamke akipenda sio siri anapenda kweli.
Hapa yawezekana tunaongea na 'FORM SIX'. Yaani miezi 4 inatosha kumchunguza mwanamke?????????????
 
hakuna warranty kwa roho ya mtu,mleta uzi leta mrejesho baada ya miaka 2 penye uzima
 
Back
Top Bottom