juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,480
- Thread starter
- #41
Upo we mwanamkeNakubaliana nawe,tukipenda tumependa na tunalinda penzi kwa gharama yoyote.
Upo we mwanamkeNakubaliana nawe,tukipenda tumependa na tunalinda penzi kwa gharama yoyote.
Nipo we mwanaumeUpo we mwanamke
Sharti uwe na pua hewa inapatikana popote
Ila unapaswa kumuamini pia kwamba yuko nawe peke yakoNdiyo maana nikasema nikuomba Mungu akupe mke asiye na tamaa na anaye ridhika a maisha yake...
una umri gani?nadhani si kosa lako,ni utoto unakusumbua,Kuna tabia ya ajabu sana imejengeka hapa nchini ya kuwadhihaki na kuwadhalilisha wanawake wote kiujumla kwamba eti hakuna mwanamke wa peke yako,yaani maana yake ni kwamba eti hakuna mwanamke wa mwanaume mmoja na kwamba eto kila mwanamke basi ana wapenzi zaidi ya mmoja,kwamba ana ndoo na kidumu.
Jambo hilo si la kweli kabisa nimejilidhisha ya kwamba wapo wanawake wengi tu ambao wana mpenzi mmoja tu,mfano mpenzi wangu wa sasa kwa kweli ninemfuatilia sana kimyakimya nimegundua hana mwanaume zaidi yangu,sasa kama namtosheleza kwa kila anachotaka unadhani atafuata nini kwa wengine?[emoji15] watu mnasalitiwa kwasababu ya mapungufu yenu tu,unakuta matumizi humsaidii,akiwa na tatizo la kifamilia humsaidia na kwenye kitanda mapenzi hujui,unapiga kimoja tu chali,sasa hapo ataacha kuchepuka kweli?
umejuaje aisee?mweleze vizuri aeleweCha kwako peke ako ni SUMU TU teh
Hongera mkuu, maana hao ni viumbe adimu.Jambo hilo si la kweli kabisa nimejilidhisha ya kwamba wapo wanawake wengi tu ambao wana mpenzi mmoja tu,mfano mpenzi wangu wa sasa kwa kweli ninemfuatilia sana kimyakimya nimegundua hana mwanaume zaidi yangu,sasa kama namtosheleza kwa kila anachotaka unadhani atafuata nini kwa wengine?
watu wanatandika hadi walokole ambao wakitoka nyumbani,kanisani nyumbani.we mwamini tu,ila kama ni kweli basi mshukuru munguHuyo ni wa kwako sasa,huenda una mapungufu ndio maana ulikuta list
Wacha weeeeeeeee umetishaaaaaa bora nimejua maana ningeingia MKENGE haswaaa kumbe wewe nawe ni GAWA GAWA?Cha kwako peke ako ni SUMU TU teh
Yaani jamaa unamfanyia unyama huo halafu unamwita fala,ina maana wewe ndio mwanaume na unastahili sifa na mpaka akawa anamuona jamaa yake kama msenge ndio alikuhadithia,eti anaipokelea simu kifuani huku vitu vimeumana,sasa ngoja siku wewe utakapopokea mpini kunako kundu yako huku umepokea simu kifuani na huku unajamba pra pra praaaa marinda kwishney,acha huo mchezo ni hatari kabisa,.Ni
Nshakula demu wa fala mmoja kweli gemu hizi hazihitaji hasira, mtoto ni mzuri balaa ila jamaa yake yupo busy na mipira na machizi wake...Kama kawaida yao wanahitaji mtu wa kujali msela nikatumia fursa, consistency ya week mbili tu nikaanza kula tunda la peponi.
Basi jamaa sometimes anapiga simu tukiwa kwenye game mtoto anaipokelea simu kifuani huku vitu vimeumana. Sometimes namwambia azipige nyundo calls zake, yani dah full burudani. Mtoto kitu ikamkolea mpaka akawa anamuona jamaa yake kama mngese tu...Asee wakiumeni zipo hizii huenda mkeo apo anafanya huu uhuni jitahidini kuwarusha rusha ipasavyo!!!
Afu tangu jana unanishobokea sana we punga ovyoooWacha weeeeeeeee umetishaaaaaa bora nimejua maana ningeingia MKENGE haswaaa kumbe wewe nawe ni GAWA GAWA?
sa uwe na pesa kibao halafu huna wa kuspend nae what does that mean???
Evelyn ujue matusi nimeacha na nimeamua kuwa mstaarabu na wewe unataka kunirudisha kwenye tabia mbaya au siyo?,sawa basi kama mimi punga na wewe ndio umesema sawa sitii neno na unisamehe kwa kukushobokea,ila sio vizuri.Afu tangu jana unanishobokea sana we punga ovyooo
Sitaki majibizano na wewe OVER!!!!Evelyn ujue matusi nimeacha na nimeamua kuwa mstaarabu na wewe unataka kunirudisha kwenye tabia mbaya au siyo?,sawa basi kama mimi punga na wewe ndio umesema sawa sitii neno na unisamehe kwa kukushobokea,ila sio vizuri.
Haya ahsante sana ya MAUMIVUUUUU,mimi PUNGA OVYOOO EEH basi BWANA YESU ATAHUKUMU.Afu tangu jana unanishobokea sana we punga ovyooo
Aanze kukuhukumu wewe unaejifanya kunijua, nagawa gawa nimekugawia wewe? OvyoooHaya ahsante sana ya MAUMIVUUUUU,mimi PUNGA OVYOOO EEH basi BWANA YESU ATAHUKUMU.
Sikia hakuna majibizano wala nini wala mimi sina haja au kiu ya kuwasiliana na weweeee,kumbuka PUNGA neno baya saana,kama umeelewa somo usijibu kaa kimya nitakuelewa vinginevyo MATUSI HAYAUZWIIIII,nasema mimi nimeacha tabia hiyoooo periooood.Sitaki majibizano na wewe OVER!!!!
Basi yaishe mimi huwa sibishani na wanawakeee,ISHIA HAPOHAPO.Aanze kukuhukumu wewe unaejifanya kunijua, nagawa gawa nimekugawia wewe? Ovyooo