Sio kweli kwamba hakuna mwanamke wa peke yako

Sio kweli kwamba hakuna mwanamke wa peke yako

Duuu weka picha ya Mkeo tuone Unaweza ukasema uko pekee yako kumbe sura ya mkeo ni kituko hamna wa kumtongoza
 
unaweza fanya yooote hayo, na ukagongewa pia... we ishi ukiamin ni wako peke yako baaasss.
acha kukariri jiamini ndugu haya mambo yako ni kuheshimiana,kupendana na hofu ya Mungu tu kama humuhofu Mungu utazini tu.kama mimi nilivo na mmoja mwenzangu vivo ivo.
 
k
Duuu weka picha ya Mkeo tuone Unaweza ukasema uko pekee yako kumbe sura ya mkeo ni kituko hamna wa kumtongoza
utongozwa si ishu ya kuchapiwa so hata kama natongozwaje bado hainipi guarantee ya kufanya ivo.
 
Kuna tabia ya ajabu sana imejengeka hapa nchini ya kuwadhihaki na kuwadhalilisha wanawake wote kiujumla kwamba eti hakuna mwanamke wa peke yako,yaani maana yake ni kwamba eti hakuna mwanamke wa mwanaume mmoja na kwamba eto kila mwanamke basi ana wapenzi zaidi ya mmoja,kwamba ana ndoo na kidumu.

Jambo hilo si la kweli kabisa nimejilidhisha ya kwamba wapo wanawake wengi tu ambao wana mpenzi mmoja tu,mfano mpenzi wangu wa sasa kwa kweli ninemfuatilia sana kimyakimya nimegundua hana mwanaume zaidi yangu,sasa kama namtosheleza kwa kila anachotaka unadhani atafuata nini kwa wengine?[emoji15] watu mnasalitiwa kwasababu ya mapungufu yenu tu,unakuta matumizi humsaidii,akiwa na tatizo la kifamilia humsaidia na kwenye kitanda mapenzi hujui,unapiga kimoja tu chali,sasa hapo ataacha kuchepuka kweli?
wa sasa .... huko alikotoka je? ... akitakiwa kukumbushia kwa x wake je?

Jidanganye dogo ... bora uwe na imani kwamba sio wako peke yako ili ikitokea ukabaini ukweli haitakuumiza sana.c Vinginevyo uko kwenye list ya wale walotendwa wakajiua ... again pole sana
 
Hongera kwa research yako fake,sasa nakupa taarifa kuwa tunashare hapo na mimi.
Aaaaah utakufa kwa presha nakutania
 
wa sasa .... huko alikotoka je? ... akitakiwa kukumbushia kwa x wake je?

Jidanganye dogo ... bora uwe na imani kwamba sio wako peke yako ili ikitokea ukabaini ukweli haitakuumiza sana.c Vinginevyo uko kwenye list ya wale walotendwa wakajiua ... again pole sana
mwache mwenzio kama mtu ni kahaba ni kahaba tu haijalishi other factor.
 
mwache mwenzio kama mtu ni kahaba ni kahaba tu haijalishi other factor.
unajua mambo mengine ni maumbile tu ... yupo mwanamke hata ungelala unamshughulikia vipi ... asubuhi anataka tena ... na hii sio kwa wanawake tu hata wanaume wapo ambao hawatosheki na shughuli ..
 
Yaani wa peke yako ni pale unapomgegeda na unapokua karibu yako lakini anapokuacha tu hapo cha wote

yaani hata unapoongea nae kwenye simu inawezekana yupo na mwenzio

HUU MCHEZO HAUHITAJI HASIRA
habari za wanawake achaneni nazo ni complex kuliko unavyo weza kufikiri. kati ya wanawake nilio chepuka nao wote waume zao walikuwa na pesa, vyeo vikubwa kazini kwao au biashara zao na bado walikubali 20,000/= zangu nilizokuwa nawapa wakiniburudisha! wanawake ni wajanja sana, kuna mmoja aliwahi kuniambia akitaka kuja nimchalaze ili mme wake asimshitukie anatoka nyumbani kwake akiwa hajaoga na simu yake anaacha akiwa inapata charge lakini anaizima, hata akichelewa kurudi hatiliwi shaka! kwa ujumla wanawake wa kiafrika asilimia 98 ni wachepukaji ila wanaume wote wenye pesa ni wachepukaji bila kujali kazi yake ni ya Mungu au ya kidunia.
 
Kwanza hakuna namna unaweza kuwa na vigezo vyote ambavyo mwanamke anapenda sijui MREFU, BROWN,HANDSOME,MWENYE PESA, MWENYE SIX PACK, KITANDANI UKO FIT MBAYA, UKICHEKA UWE NA DIMPOZ, UWE UNASUKUMA GAARI KALI, SIJUI MENO YAWE MEUPE PEE,Na kupitia hilo ndiyo maana tumeaswa kutokuwa fuatilia sana wake zetu na Omba Mungu akupe yule ambye atazishinda tamaa hizo..Na usithubuth kuusemea moyo wa mwenzako hata kama ni wife wako eti uko mwenyewe siku ukiiona hiyo list ya wanaokusaidia tutakuzika..
Wewe huamini uko mwenyewe kwa wife wako?
 
Nikwambie kitu mkuu usitake kutufikirisha kitu ambacho hakifikirishiki binafsi naunga mkono wanawake ni kama dvd za 2+ in one.
 
Mkuu mi pia ninakubaliana na wewe, nina bahati ya kupata wanawake waaminifu kwangu.Nimegundua kuwa ukimpa nafasi mwanamke akupende zaidi then ukaanza mpenda taratibu humfanya azidi kukupenda kila uchao whereby other factors remain constant. Sina shaka na mwanamke nilienae mwaka wa pili sasa sijawahi kuwaza ananisaliti maana kafa kaoza kwa msela,ana wivu huyo balaa ulowahi pelekea kutofautiana nikampotezea kuangalia kipimo cha uvumilivu wake kwa kumuacha about 4 months but still hakuwahi kutembea na mtu zaidi alikuwa analia tu kwa nini nmemtenga. Kiukweli wanawake waaminifu wapo sana, ila wengi tunakosea pa kukabidhi mioyo yetu.
Mwanamke akipenda sio siri anapenda kweli.
Bora umezungumza ukweli wako. Wengine wamekutana na wafanyabiashara wanajua wanawake wote wapo hivyo.
 
Mkuu mi pia ninakubaliana na wewe, nina bahati ya kupata wanawake waaminifu kwangu.Nimegundua kuwa ukimpa nafasi mwanamke akupende zaidi then ukaanza mpenda taratibu humfanya azidi kukupenda kila uchao whereby other factors remain constant. Sina shaka na mwanamke nilienae mwaka wa pili sasa sijawahi kuwaza ananisaliti maana kafa kaoza kwa msela,ana wivu huyo balaa ulowahi pelekea kutofautiana nikampotezea kuangalia kipimo cha uvumilivu wake kwa kumuacha about 4 months but still hakuwahi kutembea na mtu zaidi alikuwa analia tu kwa nini nmemtenga. Kiukweli wanawake waaminifu wapo sana, ila wengi tunakosea pa kukabidhi mioyo yetu.
Mwanamke akipenda sio siri anapenda kweli.
Nakubaliana nawe,tukipenda tumependa na tunalinda penzi kwa gharama yoyote.
 
Hakuna mwanamke wa peke yako. Mwanamke nimwepezi sana kumsaliti mpenzi wake, hata kama ungempa dunia bd atafanya usaliti tu lakini ukimfatilia sana utakufa mapema chamsingi amini upo peke yako
 
ukiwa mwamke wa peke yake yeye anakuwa mwanaume wa wanawake" yaan basi tu ningekuwa na kipaji chakuwapanga ningefanya kama wako kwenye interview ya kuomba kazi Migration sena ndo siwezi
 
Ukiamini uko mwnyw ni sawa?!ila alikwambia kwmba huwa anatongozwa na wanaume wengine?km ana tabia y kukueleza hvyo jua dhana yko kwmb ni wako pekee sahihi.ila km hakwambii wanaomtongoza haupo mwnyw sbb hakuna mke asietongozwa.
 
Back
Top Bottom