IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,017
Kulikuwa na uongo unaenezwa chakula cha mh Rais lazima kipimwe tena lazima ale MTU mwingine kabla yake..
Magufuli amethibitisha sio kweli, kama mnakumbuka alikula kwenye mgahawa Mwanza, Jana kala dafu hadharani bila kutest MTU wala kupimwa.
Mimi najua madafu huwa yanakaaga wiku3 hayajauzwa na kwavile hayajakomaa maji yake yanavunda hivyo ni rais kuumwa tumbo..ila mh hakujali hilo wala hakuwaza madafu ni ya lini..
Tuache kudanganyana acheni uongo uongo....
Sent using Jamii Forums mobile app