Sio kweli chakula cha Rais lazima kipimwe kabla ya kuliwa

IKIRIRI

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
2,734
3,017
Kulikuwa na uongo unaenezwa chakula cha mh Rais lazima kipimwe tena lazima ale MTU mwingine kabla yake..

Magufuli amethibitisha sio kweli, kama mnakumbuka alikula kwenye mgahawa Mwanza, Jana kala dafu hadharani bila kutest MTU wala kupimwa.

Mimi najua madafu huwa yanakaaga wiku3 hayajauzwa na kwavile hayajakomaa maji yake yanavunda hivyo ni rais kuumwa tumbo..ila mh hakujali hilo wala hakuwaza madafu ni ya lini..

Tuache kudanganyana acheni uongo uongo....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usilolijua ni kama usiku wa Giza ndugu.
Yule muuza madafu unafikiri ni hawa wauza madafu wa mtaani!? Rais wa JMT hawezi kula mtaani hovyo...system iko hivyo tokea kwa Rais wa Awamu ya kwanza.

Kuna picha zilishawahi zunguka humu JF zikimuonyesha jamaa mmoja aliyekuwa akiuza madafu mjini kumbe alikuwa ni mwanakitengo na sasa hivi anahudumu katika Chama tawala.
Kuna picha nyingine ilimuonyesha Makamu wa Rais Kenya Mh. W. Rutto akila mahindi ya kuchoma barabarani, yule muuza mahindi kumbe alikuwa ni mmoja wa walinzi wa Mh. Rutto na picha ziliwekwa akiwa kazini na Makamu wa Rais.
 
Usilolijua ni kama usiku wa Giza ndugu.
Yule muuza madafu unafikiri ni hawa wauza madafu wa mtaani!? Rais wa JMT hawezi kula mtaani hovyo...system iko hivyo tokea kwa Rais wa Awamu ya kwanza.
We unayejua amekusimulia nani? Yule ni muuza madafu maarufu sana mitaa yake posta/ mnazi1 b4 magu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vitu ambavyo Rais kabla ya kula lazima vipimwe Ni vile vya kupikwa kwa Mazingira Kama ya hotel Au event maalum kuepuka sumu Ila sio Kila anachokula lazima kipimwe

Mie kilichonifurahisha sio Rais kula dafu bali kiherehere Cha Humphrey Polepole kushikilia dafu wakati Rais anakunywa Maji ya dafu!

Watu tunajua Sana kuji pendekeza kwa Kweli

Na Gerson Msigwa kaiweka Kwenye page yake ya Instagram kuonesha maana ya Unyenyekevu kwa Mkuu wa Dola

Ila Pia Nimejifunza kitu Kuwa Ndugu Rais Magufuli huwa anatembea Na Fedha Mfukoni tofauti Na Jakaya ambae kuna Siku 2006 nusura adhalilike ambae akiwa Mtaa wa Samora ilipo NBC Samora akiwa Kwenye Ziara ya kutembelea zilizokuwa ofisi Za Idara ya Misitu alikatiza Ombaomba ambae akamuomba Fedha Na Jk bila ya hiyana akazama mfukoni akajipiga 'sachi' Sana akakosa pesa ndipo Mpambe wake akaokoa Jahazi kwa kutoa Za kwake Na kumpa Rais amabe akamkabidhi pale pale.
 
Kuna incidents hazihitaji kupima, chakula kile hakikuandaliwa kwa ajili ya Rais kwa hiyo hakungekuwa na intention yoyote kwamba kimefanyiwa ujanja.

Najua utajifanya hujaelewa ili kumtetea Rais wenu wa wanyonge na upate buku 7 yako mkono iende kinywani.
 
Mkuu kwa inshu ya Dafu sio lazima ipimwe ila kwa vyakula vya migahawani basi jua kabisa mpishi siku hiyo atakuwa mtu wa kitengo
 
Vitu ambavyo Rais kabla ya kula lazima vipimwe Ni vile vya kupikwa kwa Mazingira Kama ya hotel Au event maalum kuepuka sumu Ila sio Kila anachokula lazima kipimwe

Mie kilichonifurahisha sio Rais kula dafu bali kiherehere Cha Humphrey Polepole kushikilia dafu wakati Rais anakunywa Maji ya dafu!

Watu tunajua Sana kuji pendekeza kwa Kweli

Na Gerson Msigwa kaiweka Kwenye page yake ya Instagram kuonesha maana ya Unyenyekevu kwa Mkuu wa Dola

Ila Pia Nimejifunza kitu Kuwa Ndugu Rais Magufuli huwa anatembea Na Fedha Mfukoni tofauti Na Jakaya ambae kuna Siku 2006 nusura adhalilike ambae akiwa Mtaa wa Samora ilipo NBC Samora akiwa Kwenye Ziara ya kutembelea zilizokuwa ofisi Za Idara ya Misitu alikatiza Ombaomba ambae akamuomba Fedha Na Jk bila ya hiyana akazama mfukoni akajipiga 'sachi' Sana akakosa pesa ndipo Mpambe wake akaokoa Jahazi kwa kutoa Za kwake Na kumpa Rais amabe akamkabidhi pale pale.
Taasisi ya Rais wa JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA nzito sana tusiichukulie poa kwa chuki zetu binafsi mkuu.
Kuna uwezekano uwezekano mkubwa sana hata ungekuwa Wewe katika nafasi ya bwana Humphrey Polepole ungefanya zaidi ya kumshikia Dafu Mh. Rais wa JMT.
 
Vitu ambavyo Rais kabla ya kula lazima vipimwe Ni vile vya kupikwa kwa Mazingira Kama ya hotel Au event maalum kuepuka sumu Ila sio Kila anachokula lazima kipimwe

Mie kilichonifurahisha sio Rais kula dafu bali kiherehere Cha Humphrey Polepole kushikilia dafu wakati Rais anakunywa Maji ya dafu!

Watu tunajua Sana kuji pendekeza kwa Kweli

Na Gerson Msigwa kaiweka Kwenye page yake ya Instagram kuonesha maana ya Unyenyekevu kwa Mkuu wa Dola

Ila Pia Nimejifunza kitu Kuwa Ndugu Rais Magufuli huwa anatembea Na Fedha Mfukoni tofauti Na Jakaya ambae kuna Siku 2006 nusura adhalilike ambae akiwa Mtaa wa Samora ilipo NBC Samora akiwa Kwenye Ziara ya kutembelea zilizokuwa ofisi Za Idara ya Misitu alikatiza Ombaomba ambae akamuomba Fedha Na Jk bila ya hiyana akazama mfukoni akajipiga 'sachi' Sana akakosa pesa ndipo Mpambe wake akaokoa Jahazi kwa kutoa Za kwake Na kumpa Rais amabe akamkabidhi pale pale.
Anatembea na maburungutu makubwa
 
Kila hatua ya kazi ya Raïs hua amepangiwa ,hawezi kula kitu ambacho hakijahakikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kulikuwa na urongo unaenezwa chakula cha mh Rais lazima kipimwe tena lazima ale MTU mwingine kabla yake..

Magufuli amethibitisha sio kweli,km mnakumbuka alikula kwenye mgahawa mwanza,Jana kala dafu adharani bila kutest MTU wala kupimwa.

Mi najua madafu uwa yanakaaga wiku3 hayajauzwa na kwavile hayajakomaa maji yake yanavunda hivyo ni raisi kuumwa tumbo..ila mh hakujali ilo wala hakuwaza madafu ni ya lini..

Tuache kudanganyana acheni urongo urongo....

Sent using Jamii Forums mobile app
yale ni maigizo kwa nyie wanakijiji msio weza kufikiria kwa kina...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Urongo maana yake nini kaka mkubwa?

Back
Top Bottom