Sio kweli chakula cha Rais lazima kipimwe kabla ya kuliwa

Nadhani hili ndilo jibu sahihi...
 
Dini ndio kitu gani,pamoja na ubovu wa hizo dini zinatutaka tuwe wanyenyekevu kwa mungu na sio wenye mamlaka.
 
Dini ndio kitu gani,pamoja na ubovu wa hizo dini zinatutaka tuwe wanyenyekevu kwa mungu na sio wenye mamlaka.
Utakuwa una matatizo makubwa sana ya akili kiongozi. Kuna maandiko katika kitabu cha Matayo 22, mstari wa 15-22, yanasema hivi;
15:Kisha, Mafarisayo wakaenda zao, wakashauriana jinsi ya kumnasa Yesu kwa maneno yake. 16:Basi, wakawatuma wafuasi wao pamoja na wafuasi wa kikundi cha Herode. Wakamwuliza, “Mwalimu, tunajua kwamba wewe ni mtu mwaminifu, na kwamba wafundisha njia ya Mungu kwa uaminifu; humwogopi mtu yeyote, maana cheo cha mtu si kitu kwako. 17:Haya, tuambie maoni yako. Je, ni halali au la, kulipa kodi kwa Kaisari?” 18:Lakini Yesu alitambua uovu wao, akawaambia, “Enyi wanafiki mbona mnanijaribu? 19:Nionesheni fedha ya kulipia kodi.” Nao wakamtolea sarafu ya fedha. 20:Basi, Yesu akawauliza, “Sura na chapa hii ni ya nani?” 21:Wakamjibu, “Ni ya Kaisari.” Hapo Yesu akawaambia, “Basi, ya Kaisari mpeni Kaisari, na ya Mungu mpeni Mungu.” 22:Waliposikia hivyo wakashangaa; wakamwacha, wakaenda zao."

Acha Unafiki Kijana.
 
Mkuu Una uhakika kauli ya Rais ina amua uhai wako!? Kwanini yeye ni Mungu, Majaribio mangapi yanayokuwa na baraka labda za Rais wa nchi fulani ila yana kwama!? Unachopaswa kujua Rais ni mtu na kila mtu ana mapungufu, Leo Zuma wa SA anawekwa kizibani kusomewa mashtaka, R. mugabe anaweka zuria jekundu kwake anatembea hapo huku akisema leo hakuna hata waandishi wa habari wa kumuandika na bado mke wake anakabiliwa na mashtaka kem kem
 
Mkwere mtoto wa Mjini sana yani Mzee yule hatari sana
 
Uko gizani kweli kwa taarifa yako mtaani siyo wauza uji wote ama wachoma mahindi, nyama, washona viatu au wapiga debe wote ni kazi zao. Usipende kuamini kila unachokiona.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo mwisho wachache watakuelewa
 
Socrates anasema ukweli Ni kwajili tu ya watawala na wanaume. Na siyo kwajili ya wapumbavu, wanawake , watoto na watumwa.
Ukionacho kwa macho, humu uraiani Kama hayo ya dafu na MJP ni nje kabsa na ukweli halisi.
Na ukitakacho kuujua ukweli lazima uwe mwanaume, na mtawala ...Hapo hapo isiwe mpumbavu, mtoto, mwanamke Wala mtumwa wa akili na mwili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pengine HAO wengi wameanzia kuona 'pale' na ni bora waachwe kuelewa tukio lile kuanzia 'pale pale' walipoRUHUSIWA kuona! HAWA wengineo RUKSA kudurusu durusu iwafaavyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…