Sio kwa ukauzu huu!!

Hapana kisaikolojia haka katakuwa kizazi cha burundi ndio anachoonaga tangu azaliwe hajyi kingine zaidi ya vita tu
 
Hakuna kitu kibaya kama kumpandikiza chuki mtoto mdogo. Huyo dogo kwa hali aliyo nayo hapo anaweza kula nyama ya mtu huku mtu akiwa hai.
Acha kabisa
 
mtoto umleavyo ndivyo akuavyo hapo sitegemei huyo dogo aje kuwa mwanamitindo dogo anaonekana anahasira na visasi
 
Hakuna kitu kibaya kama kumpandikiza chuki mtoto mdogo. Huyo dogo kwa hali aliyo nayo hapo anaweza kula nyama ya mtu huku mtu akiwa hai.
Acha kabisa
Nimeumizwa na hii picha angalia macho yake yalivyo ! Ni macho yaliyoona mengi mabaya na ya kutisha
 
Kanahasira na mademu hapo.. washamwambia sana yeye kibamia...
 
Kana ugonjwa wa Lubuvconosis...ambao ulisababishwa na kirusi kiitwacho lbuvian!
 
Huyo mtoto utakuta anatokea nchi ya somalia,Central Africa, na jina lake lazma anaitwa Mohamed Al hadid Aziz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…