... ' Bora uamini kuwa MUNGU yupo kisha ukifika kule ukute Hayupo kuliko kuamini hayupo kisha ukifika kule umkute Yupo' ...
Ur killing that guy on ur avatar!
Hii habari ni kweli mimi nillipata habari hizi siku hiyo ilipotokea, Kimsingi ni kwamba hapa Tanzania kuna MILANGO SABA YA KWENDA KUZIMU.
Moja ya malango hayo lipo pale Salender umbali kidiogo kutoka kwenye daraja.
Biblia iliongelea haya malango MATAYO 16:18Nami nakuambia, wewe ndiwe Petro na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu, hata malango ya kuzimu hayataweza kulishinda.
Lango hilo linaitwa MUSTALA
Mustala lina aina 12 za walinzi wa kimajini, Yafuatayo ni majina ya hayo majini na kazi zao walizopewa kuwatesa wanadamu.Kimsingi huyo dada alichukuliwa na moja ya kati haya majini yafuatayo
1) KHATAFAR.
Majukumu ya jini hili ni
Linasimamia laana za ukoo.
2)MUZAPHAR
Linakwamisha kila kitu ambacho kinaweza kumletea mtu maendeleo kama likitumwa kwako
3)LADWIFU
Linasimamia
Mateso
Ufukara
Kupotea pesa bila kujua zilikokwenda
4)JAJUNI
Linawafanya wanawake kula udongo
5)JAKHARI
Hutorosha mali pia huzuia wateja wasije kwenye biashara yako
6)KHASINANI
Hili jini hutupiwa wanaume na linasimia mambo yafuatrayo
Sigara
Pombe
Madawa ya kulevya
Fujo
Mateso mbalimbali
7)JUBELI
Husababisha utasa kwa wanawake!!!!!!!!!!DSM ?
8)SIFAFINO
Linasimamia ukahaba both Male and F
9)SUBIANI
(a)Husababisha ajali. Linapenda damu na ndiyo chakula chake likitumwa lazima litengeneze ajali ili lipate kula.
(b)Husababisha wanawake wasione siku zao, linaivyonza hiyo damu.
(c)Husababisha maumivu sana siku za mwamke zikifika
(d)Some time husababisha mwanmke atokwe na damu kupita kiasi
10)SUMEL
Hili jini huangamiza mimba, mimba kutoka mara kwa mara.hata watoto wanao kufa wakati wa kuzaliwa huwa linawachukuwa.
11)MUNSAR
Linasababisha ushoga na usagaji
12)WAIDADAT
Hutumwa kwa wanume tu.
Husabaisha kuvaa hereni na kusuka rasta kwa wanaume.
Habari hii nimeiandika ili mtambua kuwa vita yetu si juu ya damu na nyama bali ni ya kiroho. Na VITA ili ushinde yafaa uzijue mbinu za adui yako ambaye ketu ni shetani
Malango sita yaliyobakia nayaifadhi ila ukitaka kujua yako wapi na aina za majini yanayomiliki na madhara yake kwa binadamu NITAFUTE KWA MUDA WAKO.
Story hii inawezekana kuwa ya kweli, lakini naomba kufahamishwa kama kuna taarifa zozote za kipolisi kuhusiana na tukio hilo, taarifa za ndugu au majirani wa mhusika aliyepotea, ushahidi wa mwenye gari aliyekuwa nyuma yake, uhakika wa gari lenyewe isijekuwa hata gari lenyewe ni magumashi tu, je, TRA wana taarifa za hilo gari? n.k.
Dada huyo kwa kumhurumia akamsaidia. Alipompa pesa tu mkono wa yule dada ukaota manyoya ya paka, akachanganyikiwa alipokuwa anaendelea kushangaa trafiki akawa anaruhusu magari ya upande wake yule dada akawa hawezi kuendesha gari, ndipo trafiki akamsogelea na kuuliza kulikoni?!
Conventional wisdom ninayofuata ni kuwa, kama tunavyopiga chenga kuwapa lifti tusiowafahamu au hata wake/mabinti wa majirani zetu, - hapa sasa unataka kutuambia nini? kwamba ukiwapa lift wanawake hata kama ni mabinti na wake za majirai zako uta(&*&#%& sio?, yani huna self control hata kiduchu? ndivyo hivyohivyo tunavyopaswa kutotoa nafasi ya kugusana na tusiowafamu au hata kusikiliza hadithi zisizoelekea. Si katika kuogopa ushirikina tu. It's becoming a crude world indeed - Hapa nakubaliana na wewe.
hahahaaa! good analytical skills.....another Great thinker.unatofautishaje manyoya ya paka na ya sungura, mbwa, kicheche, n.k. ulikuwa karibu kiasi gani hadi kujua ni ya paka?
Hii habari ni kweli mimi nillipata habari hizi siku hiyo ilipotokea, Kimsingi ni kwamba hapa Tanzania kuna MILANGO SABA YA KWENDA KUZIMU.
Moja ya malango hayo lipo pale Salender umbali kidiogo kutoka kwenye daraja.
Biblia iliongelea haya malango MATAYO 16:18‘'Nami nakuambia, wewe ndiwe Petro na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu, hata malango ya kuzimu hayataweza kulishinda.
Lango hilo linaitwa MUSTALA
Mustala lina aina 12 za walinzi wa kimajini, Yafuatayo ni majina ya hayo majini na kazi zao walizopewa kuwatesa wanadamu.Kimsingi huyo dada alichukuliwa na moja ya kati haya majini yafuatayo
1) KHATAFAR.
Majukumu ya jini hili ni
Linasimamia laana za ukoo.
2)MUZAPHAR
Linakwamisha kila kitu ambacho kinaweza kumletea mtu maendeleo kama likitumwa kwako
3)LADWIFU
Linasimamia
Mateso
Ufukara
Kupotea pesa bila kujua zilikokwenda
4)JAJUNI
Linawafanya wanawake kula udongo
5)JAKHARI
Hutorosha mali pia huzuia wateja wasije kwenye biashara yako
6)KHASINANI
Hili jini hutupiwa wanaume na linasimia mambo yafuatrayo
Sigara
Pombe
Madawa ya kulevya
Fujo
Mateso mbalimbali
7)JUBELI
Husababisha utasa kwa wanawake!!!!!!!!!!DSM ?
SIFAFINO
Linasimamia ukahaba both Male and F
9)SUBIANI
(a)Husababisha ajali. Linapenda damu na ndiyo chakula chake likitumwa lazima litengeneze ajali ili lipate kula.
(b)Husababisha wanawake wasione siku zao, linaivyonza hiyo damu.
(c)Husababisha maumivu sana siku za mwamke zikifika
(d)Some time husababisha mwanmke atokwe na damu kupita kiasi
10)SUMEL
Hili jini huangamiza mimba, mimba kutoka mara kwa mara.hata watoto wanao kufa wakati wa kuzaliwa huwa linawachukuwa.
11)MUNSAR
Linasababisha ushoga na usagaji
12)WAIDADAT
Hutumwa kwa wanume tu.
Husabaisha kuvaa hereni na kusuka rasta kwa wanaume.
Habari hii nimeiandika ili mtambua kuwa vita yetu si juu ya damu na nyama bali ni ya kiroho. Na VITA ili ushinde yafaa uzijue mbinu za adui yako ambaye ketu ni shetani
Malango sita yaliyobakia nayaifadhi ila ukitaka kujua yako wapi na aina za majini yanayomiliki na madhara yake kwa binadamu NITAFUTE KWA MUDA WAKO .
Baada ya mchungaji kumaliza misa,kwakuwa mimi ni mtu wa karibu sana na mchungaji alinipigia simu na kuanza kunihadithia kuwa,makusanyo ya sadaka kanisani hayaridhishi kwa sasa,na tatizo inaonyesha kuwa waumini wamekuwa wakitoa pesa sana kwa ombaomba kuliko kanisani,hivyo aliamua kubuni kisa kitakacho wakomesha tabia yao hiyo na kuendelea kutoa sadaka kama kawaida.Na kuhusu huyo dada aliyetoa ushahidi,mchungaji alinigusia kuwa huyo ni mtunza hazina msaidizi wa kanisa,hivyo hiyo ilikuwa ni njia tuu ya mchungaji kutengenezea ndama wake malisho!!Yapaswa ikumbukwe pia utaulizwa nilikuja pindi nlipokuwa na kiu,ukaninyima maji!!Mwisho yatupasa tujifunze kusaidiana hasa ktk nyakati hizi ngumu!!Natumaini kwa uwezo wa Mungu mko wazima,
Leo kwenye misa ya asubuhi kanisani Azania Front mchungaji aliyekuwa anahubiri katufunulia siri nyingi sana za sheteni nakutupa shuhuda mbalimbali jinsi shetani anavyofanya kazi.
Moja ya ushuhuda wake ni kisa kilichotokea hivi karibuni hapa Dar es salaam. Napenda nikushirikishe ili uchukue hatua.
Pale salender Bridge ambapo anasimama trafiki akivuta magari, kuna mdada alikuwa ndani ya gari lake kwenye foleni akisubiri zamu yake ya kuruhusiwa na trafiki ifike apite. ndipo aliposogea kaka mmoja ombaomba, akasogea kwenye gari la yule dada na kuomba msaada.
Dada huyo kwa kumhurumia akamsaidia. Alipompa pesa tu mkono wa yule dada ukaota manyoya ya paka, akachanganyikiwa alipokuwa anaendelea kushangaa trafiki akawa anaruhusu magari ya upande wake yule dada akawa hawezi kuendesha gari, ndipo trafiki akamsogelea na kuuliza kulikoni?!
Yule dada akatoa mkono wake na kumuonyesha trafiki na kumsimulia kilichotokea na bahati nzuri yule kaka aliepewa pesa alikuwa mita chache pembeni anamuangalia yule dada. Ikabidi trafiki aende kumuuliza yule ombaomba kulikoni?
Ndipo yule ombaomba akamwambia trafiki kuwa yule dada akimbusu tu atapona mkono utarudi kawaida. Basi ikabidi yule dada atelemke aende kumbusu yule kaka, alivyombusu wakapotea wote palepale, gari ya yule dada ikabaki barabarani ndipo trafiki alipoita watu wakaanza kuisukuma ile gari na kuiweka pembeni.
Kuna dada mwingine alikuwepo leo kanisani baada ya ibada akawa anatusimulia, yeye alikuwa nyuma ya gari ya huyo dada alishuhudia hilo tukio anasema ni tukio la kweli kabisa ameshuhudia kwa macho yake.
Hivyo jamani nawatahadharisha ndugu zangu mlio na moyo wa huruma msipende kutoa pesa zenu hovyo sababu umekutana na maskini.
Biblia inasema maskini wapo na wataendelea kuwepo, mwombe Mungu kwanza kila unapotaka kutoa sadaka yako. Mwenye Masikio na Asikie