Sio kila ombaomba anahitaji msaada- be careful

Sio kila ombaomba anahitaji msaada- be careful

amen,eeeeeh mbn naogopa jamani!plz it should be a joke au?duh inatisha jamani
lushdo hizo mbona zinatokea mara nyingi tu!!!!!!!!!
Kuna mtu ofisini alimpa hela ombaomba,
kumbe ametumwa na wabaya wa huyo dada wamfanyie uchawi.
Yule ombaomba akamweleza kiunagaubaga kila kitu.
 
lushdo hizo mbona zinatokea mara nyingi tu!!!!!!!!!
Kuna mtu ofisini alimpa hela ombaomba,
kumbe ametumwa na wabaya wa huyo dada wamfanyie uchawi.
Yule ombaomba akamweleza kiunagaubaga kila kitu.

halafu ikawaje baada ya kuhadithiwa aliendelea kumchawia.
 
Natumaini kwa uwezo wa Mungu mko wazima,
Leo kwenye misa ya asubuhi kanisani Azania Front mchungaji aliyekuwa anahubiri katufunulia siri nyingi sana za sheteni nakutupa shuhuda mbalimbali jinsi shetani anavyofanya kazi.
Moja ya ushuhuda wake ni kisa kilichotokea hivi karibuni hapa Dar es salaam. Napenda nikushirikishe ili uchukue hatua.

Pale salender Bridge ambapo anasimama trafiki akivuta magari, kuna mdada alikuwa ndani ya gari lake kwenye foleni akisubiri zamu yake ya kuruhusiwa na trafiki ifike apite. ndipo aliposogea kaka mmoja ombaomba, akasogea kwenye gari la yule dada na kuomba msaada.

Dada huyo kwa kumhurumia akamsaidia. Alipompa pesa tu mkono wa yule dada ukaota manyoya ya paka, akachanganyikiwa alipokuwa anaendelea kushangaa trafiki akawa anaruhusu magari ya upande wake yule dada akawa hawezi kuendesha gari, ndipo trafiki akamsogelea na kuuliza kulikoni?!

Yule dada akatoa mkono wake na kumuonyesha trafiki na kumsimulia kilichotokea na bahati nzuri yule kaka aliepewa pesa alikuwa mita chache pembeni anamuangalia yule dada. Ikabidi trafiki aende kumuuliza yule ombaomba kulikoni?

ndipo yule ombaomba akamwambia trafiki kuwa yule dada akimbusu tu atapona mkono utarudi kawaida.basi ikabidi yule dada atelemke aende kumbusu yule kaka, alivyombusu wakapotea wote palepale, gari ya yule dada ikabaki barabarani ndipo trafiki alipoita watu wakaanza kuisukuma ile gari na kuiweka pembeni.
kuna dada mwingine alikuwepo leo kanisani baada ya ibada akawa anatusimulia, yeye alikuwa nyuma ya gari ya huyo dada alishuhudia hilo tukio anasema ni tukio la kweli kabisa ameshuhudia kwa macho yake.

Hivyo jamani nawatahadharisha ndugu zangu mlio na moyo wa huruma msipende kutoa pesa zenu hovyo sababu umekutana na maskini.
Biblia inasema maskini wapo na wataendelea kuwepo, mwombe Mungu kwanza kila unapotaka kutoa sadaka yako. Mwenye Masikio na Asikie

mhh kazi kweli kweli
 
amesha sema Azania front, unauliza tena!!!!

Sorry sikuiona hiyo!

Sasa watafanya hata wale wanaohitaji msaada washindwe kusaidiwa jamani.
Nimehakikishiwa na sister wangu alisali leo pale Azania ibada ya asubuhi.
 
Wekeni biblia na rosari kwenye magari yenu, msiache kusali. Misaada pitishieni kwetu Ma-reverend
 
U r killing that tree on ur avatar...sio umwagiliaji huo bali uuaji

siipendi kuiangalia hiyo avatar ya masanilo!!!!!!!!!!

Masa kwani huumii kila siku hivyo viupupu vinakuchoma???
 
Try to be that female tree uone kama nitaumia LOL

mbona ni kama unaskilizia maumivu huo mpira unavokugonga???

wee eti niwe hiyo female tree so that u can pee on me kama hivo loh staki

(i wont try that its dangerous)
 
Niliwahi kusikia habari inayotaka kufanana na hii ilitokea maeneo ya Naivasha, Kenya... Muwe kwenye maombi jamani...
 
Back
Top Bottom