Unaanza kuita watu wagonjwa wa akili kwa sababu wana mawazo tofauti na yako? Bure kabisa..Unaweza ukawa mgonjwa wa akili au kama sio hivo unaleta siasa za kishamba au kama sio hivo na ww hujui kilichoandikwa kwenye katiba kwa mtu mwenye akili timamu anaeielewa katiba lazima akubaliane na swala la mabadiliko ya katiba,....kikwete aliona hilo ndo maan akaanzisha mchakato chini ya judge warioba ili tu kutuliza kelele za wanaoijua katiba
Unaweza ukawa mgonjwa wa akili au kama sio hivo unaleta siasa za kishamba au kama sio hivo na ww hujui kilichoandikwa kwenye katiba kwa mtu mwenye akili timamu anaeielewa katiba lazima akubaliane na swala la mabadiliko ya katiba,....kikwete aliona hilo ndo maan akaanzisha mchakato chini ya judge warioba ili tu kutuliza kelele za wanaoijua katiba
Mkuu Beth, kwanza naungana na wewe, one can never miss, what you never had, or you have never known, kama hujawahi onja asali, mtu akikuambia sukari ndio the sweetest thing on earth, utakubali, hivyo ni Watanzania wangapi wanaijua katiba na ni ya nini?.Linapoibuka suala la Katiba Mpya, basi mjadala huo unavyosemwa ni kama vile kila mmoja anaona umuhimu wa kuwa na Katiba mpya kwa sasa..
Japo walio wengi wanaonekana kukubaliana na ulazima wa kuwa nayo kwa sasa, lakini si ajabu kwamba wengi wao ni bendera fuata upepo tu kwa sababu nina uhakika majority of the ordinary citizens hawajui hata kilichomo kwenye katiba ya sasa na what needs to be changed...
Ni hivi, wingi sio hoja.. Msemo wa wengi wape usitumiwe kama kigezo hapa kwa sababu historia inaonesha hata wakati tunaulizwa kuhusu kuwa na mfumo wa vyama vingi nchini, wengi walipiga kura ya HAPANA na kutaka tubaki na chama kimoja tu.. Leo tuko wapi?
Anyway, utafiti unaniunga mkono. Kwamba 24% wanaojielewa hawahitaji hizi sarakasi za Katiba Mpya. Na sio hivyo tu, 48% wanasema hata mkiamua tuwe na Katiba Mpya mtasubiri sana maana sio jambo la leo wala kesho!
Kalagabaho!
View attachment 648425
Mkuu Beth, kwanza naungana na wewe, one can never miss, what you never had, or you have never known, kama hujawahi onja asali, mtu akikuambia sukari ndio the sweetest thing on earth, utakubali, hivyo ni Watanzania wangapi wanaijua katiba na ni ya nini?.
Kutokujua kitu sio kosa, ila kutokujua kitu ambacho ni muhimu kwa maisha yako ni ignorance, Watanzania tulio wengi ni ignorants sio tuu wa katiba, bali hata haki zetu ikiwemo haki ya kupiga kura na thamani ya kura yako, hivyo kutokana na ujinga na umasikini uliotopea wa walio wengi, wengi hawana uwezo wa kuchagua, by making informed decisions, bali wanachagua kwa mkumbo tuu, baada ya kupata t-shirt na kofia, na shibe ya siku moja!. Na CCM ndio inautumia huu udhaifu for its advantage, kwa kujizolea ushindi wa ubwete kwenye sanduku la kura kutoka kwa watu wasiojua wanachagua nini!.
Tweweza walipofanya utafiti kuhusu udikiteta na kutoa matokeo yake, mimi niliwapongeza.
UDIKTETA: Hongera Sana TWAWEZA, TZ hakuna Udikteta! Ila, ukiwauliza wajinga, unategemea nini?
Kuichagua tena CCM, Je ni kielelezo cha kufanya informed decision, au ni Ignorance?
Ikitokea CCM ishinde, Je ushindi huo ni kutokana kuwekeza kwenye Maendeleo au kwenye Ignorance?
Paskali
Kama mtu ni mgonjwa kuambiwa anaumwa ni kosa?Unaanza kuita watu wagonjwa wa akili kwa sababu wana mawazo tofauti na yako? Bure kabisa..
Hata sisi hatukumuhitaji nguza uraiani mlawiti yule alipaswa kutumikia kifungo!Linapoibuka suala la Katiba Mpya, basi mjadala huo unavyosemwa ni kama vile kila mmoja anaona umuhimu wa kuwa na Katiba mpya kwa sasa..
Japo walio wengi wanaonekana kukubaliana na ulazima wa kuwa nayo kwa sasa, lakini si ajabu kwamba wengi wao ni bendera fuata upepo tu kwa sababu nina uhakika majority of the ordinary citizens hawajui hata kilichomo kwenye katiba ya sasa na what needs to be changed...
Ni hivi, wingi sio hoja.. Msemo wa wengi wape usitumiwe kama kigezo hapa kwa sababu historia inaonesha hata wakati tunaulizwa kuhusu kuwa na mfumo wa vyama vingi nchini, wengi walipiga kura ya HAPANA na kutaka tubaki na chama kimoja tu.. Leo tuko wapi?
Anyway, utafiti unaniunga mkono. Kwamba 24% wanaojielewa hawahitaji hizi sarakasi za Katiba Mpya. Na sio hivyo tu, 48% wanasema hata mkiamua tuwe na Katiba Mpya mtasubiri sana maana sio jambo la leo wala kesho!
Kalagabaho!
View attachment 648425
Hamkawii kuvurumisha risasi nyie.Unaanza kuita watu wagonjwa wa akili kwa sababu wana mawazo tofauti na yako? Bure kabisa..
Linapoibuka suala la Katiba Mpya, basi mjadala huo unavyosemwa ni kama vile kila mmoja anaona umuhimu wa kuwa na Katiba mpya kwa sasa..
Japo walio wengi wanaonekana kukubaliana na ulazima wa kuwa nayo kwa sasa, lakini si ajabu kwamba wengi wao ni bendera fuata upepo tu kwa sababu nina uhakika majority of the ordinary citizens hawajui hata kilichomo kwenye katiba ya sasa na what needs to be changed...
Ni hivi, wingi sio hoja.. Msemo wa wengi wape usitumiwe kama kigezo hapa kwa sababu historia inaonesha hata wakati tunaulizwa kuhusu kuwa na mfumo wa vyama vingi nchini, wengi walipiga kura ya HAPANA na kutaka tubaki na chama kimoja tu.. Leo tuko wapi?
Anyway, utafiti unaniunga mkono. Kwamba 24% wanaojielewa hawahitaji hizi sarakasi za Katiba Mpya. Na sio hivyo tu, 48% wanasema hata mkiamua tuwe na Katiba Mpya mtasubiri sana maana sio jambo la leo wala kesho!
Kalagabaho!
View attachment 648425
Yaonekana una ufahamu mkubwa wa Katiba. Tujuze vifungu vya Katiba ambavyo kwako wewe unaamini ni kikwazo cha maendeleo yangu, yako, yake, yetu, yao, ya sisi, na ya wao?Unaweza ukawa mgonjwa wa akili au kama sio hivo unaleta siasa za kishamba au kama sio hivo na ww hujui kilichoandikwa kwenye katiba kwa mtu mwenye akili timamu anaeielewa katiba lazima akubaliane na swala la mabadiliko ya katiba,....kikwete aliona hilo ndo maan akaanzisha mchakato chini ya judge warioba ili tu kutuliza kelele za wanaoijua katiba