muttamwombe
Member
- Jul 28, 2014
- 98
- 62
Wahaya wengi mnazingua
Kama hutokei Bukoba lakini unamiliki Range wewe ni Muhaya.....umenielewaa?
Na mnaoweka négative comments kuhusu wahaya na nyie muweke makabila yenu maana nyani haoni kundule...
Dada zao fullu kutuuzia vitu vyetu kwa bei chee.
wanaume dharau wanawake wanaachia tuu free of charge..
Infwaakti....Ukweli ni kwamba majority wanabeba hizo chembechembe-hai za kujisikia...
Ha ha ha kila mhaya anasifa hata aweje ...akiwa mshila dini utafikiri anakaa na Mungu huko mbinguni...acha bana ila mtu kama mi nawapenda huwa nawapamba tu huku natumia vyao ...note... Huwa situmiki