Sio kila mamlaka duniani ina kibali cha Mungu

Sio kila mamlaka duniani ina kibali cha Mungu

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
5,121
Reaction score
10,817
Kwa mujibu wa Wanazuoni makini, Duniani zipo mamlaka zilizotoka kwa Mungu na zilizotoka kwa miungu (shetani)!

SI KILA MALMAKA IMETOKA KWA MUNGU KUNA MAMLAKA NYENGINE NI ZA SHETANI KAMA ILE YA FARAO WA MISRI, HITLER, MUSOLINI na wengine

Kuna watu wanasema tunapaswa kuheshimu mamlaka kwa sababu biblia imesema mamlaka zinatoka kwa Mungu. Watu hao hao wanasahau kuwa mamlaka zinazoheshimiwa ni zile zinazotenda haki na ndizo biblia inazizungumzia. Na tena mamlaka ziko nyingi mno hapa duniani, ipo mamlaka ya shetani ambayo Mungu anapambana nayo na hata akamtoa mwanaye wa pekee ili kupinga mamlaka hiyo! I

likuwepo ya Farao na Mungu akamuinua Musa kuwaokoa watu wake kutoka mikononi mwa Dikteta Farao. Ilikuwepo ya Nebukadneza n.k.

Mamlaka halali inayotoka kwa Mungu ni ile inayojiendesha bila hila, ghilba, propaganda na ukandamizaji wa watu wake. Kwa asili ya mwanadamu na kama moja ya kanuni za maisha, Mamlaka za hovyo, zinazobagua watu wake, zikawakandamiza na kuwafanya watumwa, hupingwa, na hupingwa kwa nguvu zote. Hata mamlaka hizo zikiua watu wote waliopo, wanaozaliwa huzipinga.

Aidha zipo mamlaka leo hii zinahalalisha ndoa za jinsi moja, zipo zilizohalalisha mauaji ya halaiki (mascres), Zipo zilizo hubiri ubaguzi wa mtu na mtu, Zipo zinazo chinja na kuua watumishi wa Mungu kwa misimamo yao kiimani,
TUSEME ZOTE HIZI NI MAMLAKA ZILIZOTOKA MBINGUNI?
 
Ukweli mtupu huu tunahitaji kumuomba Mungu sana ulevi wa madaraka wa wale jamaa wa nguo za kijani wanafikir wao ndo kila kitu ktk taifa hili washaanza hadi kuingiza vidole ktk mzinga wa nyuki ili wajaribu kama asali ipo
 
vipi mtaa wa ufipa; hakuna ulevi wa madara?,
Vipi buguruni; hakuna ulevi wa madaraka?
 
Yule mwenye kichwa kama mawe ya Mwanza likisoma huu Uzi litasonya Na kuagiza bundle ziongezwe kupinguza users!
 
vipi mtaa wa ufipa; hakuna ulevi wa madara?,
Vipi buguruni; hakuna ulevi wa madaraka?
Akili za kuku hizi hata nilivyokujibu shukuru Mungu sana hao watu waufipa ndio waliotoa maagizo waraka ufutwe?
 
namlilia kamanda CHACHA WANGWE rip

najua unajuan ninachomaanisha
Akwelina,ulimboka,kombe,ben saanane,azory gwanda barua ni ndefu rudi shule bwege wewe
 
Akwelina,ulimboka,kombe,ben saanane,azory gwanda barua ni ndefu rudi shule bwege wewe
ubwege wangu ni kwa kusema kile unachojua na hutaki kisemwe, acha niendelee kuwa bwege kwakuwa hata hujui kuwa hujui hicho ulichoharisha
 
Akili za kuku hizi hata nilivyokujibu shukuru Mungu sana hao watu waufipa ndio waliotoa maagizo waraka ufutwe?
Jiajili mwenyewe ili uache kutumikishwa hata pasipopaswa kutumikishwa
 
ubwege wangu ni kwa kusema kile unachojua na hutaki kisemwe, acha niendelee kuwa bwege kwakuwa hata hujui kuwa hujui hicho ulichoharisha
Ndo shule mlivyofundishwa waraka wa maaskofu unaleta habar za mawazo fungua thread tuje huko uone tunavyoishambulia

Kama mada inakushinda unapita kimya najua huamini kama jini mlilofuga limeanza kupasua chupa
 
Jiajili mwenyewe ili uache kutumikishwa hata pasipopaswa kutumikishwa
Mwanzo nilikwambia ushukur hata Mungu nakujibu ni bahat sana mana unachoandika hakieleweki hata kidogo
 
ukweli ni kuwa mamlaka zote ni za Shetani. sema Mungu ameziruhusu ziwepo na anataka tuziheshimu. Ni mpango wa Mungu.
 
Mwanzo nilikwambia ushukur hata Mungu nakujibu ni bahat sana mana unachoandika hakieleweki hata kidogo
umejibu kwasababu kinaeleweka, nakuonea huruma kwakuwa kusoma hujui hata picha nayo huelewi, so sad.
 
ukweli ni kuwa mamlaka zote ni za Shetani. sema Mungu ameziruhusu ziwepo na anataka tuziheshimu. Ni mpango wa Mungu.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
umejibu kwasababu kinaeleweka, nakuonea huruma kwakuwa kusoma hujui hata picha nayo huelewi, so sad.
Inabidi nukupuuze wewe sio level yangu tafuta wenzio wakina jingalao muendeleze mada za kijinga na wajinga wenzio
 
Back
Top Bottom