MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,591
Kijana akitumia mnyororo wa bodaboda kutengeneza Mulltiplug.
Sio kila kitu china
uko sawa chief,mkuu huo ni mnyororo wa pikipiki....
Ila anachokifanya huyo mlipakodi mwenzangu si sawa kabisa
Katika stage hii, mnyororo ni Neutral.Mkuu kumbuka anatumia mnyororo ambao umetengenezwa China
Stage ya mnyororo hapo ni sawa na mbao tu maana hautumiki. Kuna mwingine akiona mbao haitumiki anachukua kama kuni kukaangia chips, wakati mwingine anaidevelop anatengeneza hata Banda la njiwa, au sanaa yoyote anauza anapata fweza.mbona bado china kaplay part kwa huo mnyororo?
lakini hoja inabaki palepale mnyororo made in china mkuu..Stage ya mnyororo hapo ni sawa na mbao tu maana hautumiki. Kuna mwingine akiona mbao haitumiki anachukua kama kuni kukaangia chips, wakati mwingine anaidevelop anatengeneza hata Banda la njiwa, au sanaa yoyote anauza anapata fweza.
Huo mnyororo unaweza kuutupa maana katika stage hiyo hauna kazi, lkn kijana kafikiri.
uko vizuriidea ni nzuri sana ila kuna upotevu mkubwa wa umeme hapo ukiachilia mbali electric shock, maana hapo ukinzani ni mkubwa,
Hiyo idea inaweza kuwekwa poa kama uta consider, resistivity, cross sectional area na length ya hicho kifaa bila kusahau usalama kwa mtumiaji