Sio kila kitu china, Na sisi huku mitaani Tuko vizuri

lakini hoja inabaki palepale mnyororo made in china mkuu..

Na wachina walipata wapi Mali gafi kutengeneza huo mnyororo?
Huyo kijana Ni mbunifu mpe haki yake ya ubunifu.Inawezekana Weye Ni Mmoja wa Watu wenye wivu na wasio penda maendeleo.
WaJapani walikuwa wananunua radio Na magari USA Na Ujerumani Halafu wanayakopi Na kupaste.Leo Hii Nani anatengeneza magari Na radio nzuri duniani MJAPANI.
Mkorea wa kusini naye anafanya hivyo hivyo.
Vijana Kama Huyo watakuja kuikomboa Bongo
 
Back
Top Bottom