Wewe changamoto ya ndoa kwako ni kugongewa. Wengine hilo hawalitilii maanani sana, wanatafuta tu mama mzuri wa watoto wao familia iwe stable na furaha mengine ni nyongeza au mapungufu yanayoweza kutokea, awe kagongwa na mpya au wa zamani kugongwa ni kugongwa tu na si la kutilia maanani hadi pale litakapotokea ndo utapata ufumbuzi. Ndoa na iheshimiwe.