Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,428
Mada tajwa yahusika
Kuna Jambo nimeligundua humu JF kuhusu kumpinga JPM kuna watu humu wanaona kila anaempinga Magufuli na Serikali yake ni mwanachadema
But mjue anapingwa na Watanzania wote wanaojielewa wale wasio na chama kama Mimi
Hakuna mtanzania mwenye akili timamu akanyamaza huku anaona anadhulumiwa haki yake ya kikatiba ya kutoa maoni
Kuongezewa mshahara
Kupatiwa huduma Bora za kijamii( maji,umeme,elimu na afya)
Sio mwanachadema Tu anaepinga hali hii
Tangu aingie JPM hali imekua mbaya kiuchumi watu tunafanya kazi halali pesa hakuna,bidhaa hasa za chakula zimepanda juu
Utumbo wa kuku,mbuzi,Faru au upi huo jamaaHamia somalia ,umeandika utumbo mtupu
Uhandishi wako unatia shaka.Mada tajwa yahusika
Kuna Jambo nimeligundua humu JF kuhusu kumpinga JPM kuna watu humu wanaona kila anaempinga Magufuli na Serikali yake ni mwanachadema
But mjue anapingwa na Watanzania wote wanaojielewa wale wasio na chama kama Mimi
Hakuna mtanzania mwenye akili timamu akanyamaza huku anaona anadhulumiwa haki yake ya kikatiba ya kutoa maoni
Kuongezewa mshahara
Kupatiwa huduma Bora za kijamii( maji,umeme,elimu na afya)
Sio mwanachadema Tu anaepinga hali hii
Tangu aingie JPM hali imekua mbaya kiuchumi watu tunafanya kazi halali pesa hakuna,bidhaa hasa za chakula zimepanda juu
Sasa mimi mtanzania nisie na chama nikipinga hali hii naambiwa mwanachadema, Watanzania tuache unafiki kuishi Kwa kufuata upepo
Tumekua watu wa kuishi Kwa matukio,tukiongea ukweli uchochezi.
Hitimisho: Nchi hii tusio na vyama tupo wengi na tuna haki ya kupinga tunapoona mambo hayaendi sawa
Naruhusu POVU kutoka Kwa wanalumumba,Mi sina chama Ila yanayofanyika mengine yana boa
Utumbo umejibiwa kwa utumbo!!Hamia somalia ,umeandika utumbo mtupu
Mkuu usiifungie siasa kwenye sanduku la vyama. Siasa ndio maisha yenyewe, usiipe siasa tafsiri nyepesi kiasi hicho. Halafu kasome vizuri katiba ya nchi, kupiga kura unatakiwa uwe raia wa Tz aliyetimiza umri wa miaka 18 na mwenye akili timamu. Hiyo ndiyo sifa ya mpiga kura na siyo kuwa mwanchama wa chama cha siasa.NI ujinga na UNAFIKI kusema huna chama halafu unajadili SIASA
watu wa namna yako huwa mnanishangazaga sana wewe huna chama ina maana hata kura hukupiga halafu unamlaumu magufuri na serikali yake
Usaidiwaje hapo kwa mfano kama si UNAFIKI ni nini
Mkuu elewa thread yanguMkuu usiifungie siasa kwenye sanduku la vyama. Siasa ndio maisha yenyewe, usiipe siasa tafsiri nyepesi kiasi hicho. Halafu kasome vizuri katiba ya nchi, kupiga kura unatakiwa uwe raia wa Tz aliyetimiza umri wa miaka 18 na mwenye akili timamu. Hiyo ndiyo sifa ya mpiga kura na siyo kuwa mwanchama wa chama cha siasa.
Sigara kali imetumikaMada tajwa yahusika
Kuna Jambo nimeligundua humu JF kuhusu kumpinga JPM kuna watu humu wanaona kila anaempinga Magufuli na Serikali yake ni mwanachadema
But mjue anapingwa na Watanzania wote wanaojielewa wale wasio na chama kama Mimi
Hakuna mtanzania mwenye akili timamu akanyamaza huku anaona anadhulumiwa haki yake ya kikatiba ya kutoa maoni
Kuongezewa mshahara
Kupatiwa huduma Bora za kijamii( maji,umeme,elimu na afya)
Sio mwanachadema Tu anaepinga hali hii
Tangu aingie JPM hali imekua mbaya kiuchumi watu tunafanya kazi halali pesa hakuna,bidhaa hasa za chakula zimepanda juu
Sasa mimi mtanzania nisie na chama nikipinga hali hii naambiwa mwanachadema, Watanzania tuache unafiki kuishi Kwa kufuata upepo
Tumekua watu wa kuishi Kwa matukio,tukiongea ukweli uchochezi.
Hitimisho: Nchi hii tusio na vyama tupo wengi na tuna haki ya kupinga tunapoona mambo hayaendi sawa
Naruhusu POVU kutoka Kwa wanalumumba,Mi sina chama Ila yanayofanyika mengine yana boa
SWADAKTA!!!!!Na siyo kila anayewakosoa wapinzani no mwanaCCM.