Sio kila ajali ni mapenzi ya Mungu

Sio kila ajali ni mapenzi ya Mungu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,092
1409918463413.jpg tairi zimeweka mgomo
 
Mithali 10 : 4
Atendaye mambo kwa mkono mlegevu huwa maskini; Bali mkono wake aliye na bidii hutajirisha.

Hicho ndicho nilichopata kutoka kwenye hii picha
 
... ajali siyo mapenzi ya Mungu...
 
Mithali 10 : 4
Atendaye mambo kwa mkono mlegevu huwa maskini; Bali mkono wake aliye na bidii hutajirisha.

Hicho ndicho nilichopata kutoka kwenye hii picha

MO11 umewasaidi wengi hasa wale wavivu wa kusoma neno
 
Last edited by a moderator:
ajali kama hii watu wanashutka tu na vifo...
 
Back
Top Bottom