Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,585
- 93,273
Siyo kweli hata kidogo, wanawake wa generation hii ni tatizo, wao nafasi ya mwanaume wansitambuwa kwenye kutowa pesa tu.Nikisoma comments za wanaume inaonyesha asilimia 99.9 wanawake huwa wanapigwa kwaajili ya midomo ila kuna dada mmoja nilikuwa naongea nae jana akaniambia there is no way mwanamke unaweza ukaacha kuongea yaani hata ukikaa kimya mwanaume atakuchokonoa tu mradi uongee yaani ukiamua kukaa kimya ni kama wanakosa amani hivi. Hili sijui lina ukweli gani
Hii ni laana kutoka kwa Mungu wanaume tunaadhibiwa kwa kwenda kinyume na mpango wa Mungu.
Hakuna kitu cha kipumbavu kama 50 kwa 50 Mungu akuumba dunia ili mwanamke awe sawa na mwanaume.
Ndio sababu Wayahudi mwanamke haesabiwi na hata katika misingi ya uislamu muongozo wao ni mzuri sana kwenye ndoa.
Kwa kifupi mwanamke mnyenyekevu kwa mume nyumba yake itakuwa ni paradise miaka yote.
Kuna tabia ya kishenzi ya wanawake wa sasa kupekuwa simu za wanaume hui na nao ni upumbavu uliopitiliza.
Mwanamke yeyote anayeingiza kichwa chake kwenye zile draya za salon kichwani kwake hawezi kuwa mzima.
Mimi nashauri kwa wanandoa wapya badala ya kupima virusi vya ukimwi peke yake tuanze utaratibu mpya wa kupima afya ya akili kabla ya kufunga ndoa, maana vichaa ni wengi sana sasa lakini huwezi kuwagunduwa kwa macho.